Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa na umri wa miaka 24 au plus asingeleta Mada ya hivyo angekuwa anaoigania ndoa wapi ataolewa.Hahahaha duh!
Sasa na mimi mdogo wangu kabisaaa ambaye nikitoka mimi anafuata yeye anafikisha 19 pia mwaka huu
Unaanzaje kunikadiria umri wa 21?kuna watu tunazidiana na wadogo zetu hata miaka 5+
Ndoa na afya ya mdogo wake nadhani kwa hali ya kawaida atafikiria mdogo wake kwanzaAngekuwa na umri wa miaka 24 au plus asingeleta Mada ya hivyo angekuwa anaoigania ndoa wapi ataolewa.
Ila huu mwandiko unaonyesha niwakugombsnia ukoko Nyumbani na mdogo wake.
Baada ya kumsaidia mdogo wake kwenye malezi mema yeye ana hamasisha michakato.Ndoa na afya ya mdogo wake nadhani kwa hali ya kawaida atafikiria mdogo wake kwanza
huyo dogo mazingira ndo yamemuharibu, inaonesha amecheza sana rede na watoto wa kike, pia yaonekana amekuzwa kwenye mazingira ya wadada/ wanawake tupu/na michezo ya kike, kwa staili hiyo lazma awe na tabia za kike.We nae mnataka niongee vitu ambavo nilikua sitaki kuandika hapa. Ukikaa nae kuna mda unaona kabisa anajaribu kucontrol mimics zke lakin saa nyingine anashindwa zinatokea tu automatic. Kama tatizo lingekua ni Kutokua na girlfriend tu nisinge umiza kichwa
Kitu gani?Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu?
Acha ujinga kumfundisha mdogo wako Upuuzi.Wewe jamaa ni mpumbavu.Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁
Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja
Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!
Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Kwa hiyo utampa mdogo wako mashine yako aichakate??.We mtanzania Ukraine inakusu nini au unajifuraisha tu. Mna matatizo yenu ya kujaa dunia nzima yanawashinda kutatua mtaweza ya watu?
Umeniwahi.Kama wewe ni K nashauri umtengee dogo halafubulete mrejesho
Kesi Kama hizo, Tumia TU akili dada angu.
Nakupa mbinu,
Wee mwnyw Kama dada ake jaribu kukaa kihasara hasara kdg Kama unamtega kingono uone atarespond vipi.
(NB: Sio kwa Nia ya kusex nae,
Bali kwa Lengo zuri tu la kumstua hisia zake.)
Ukiona,
Hamna response wasiliana na wazee wamuwaishe hospitali haraka Sana.
Mwanaume alokamilika akiona maungo flani flani hayajakaa mahala pake,
lazma tu adinde hata Kama Ni ndugu mapacha wa kuzaliwa tumbo moja[emoji4]
Huyu mtu ana point Ila watu sijui hawamwelewi, dogo inawezekana akawa siyo ridhiki ndiyo wasiwasi wake.
Mmh!!Wewe huna maaana mimi hata Dada yangu angekaa uchi nisingeshtuka ningesikia kutapika