Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Hizo pombe alizikuta humo ndani au kaja nazo?
Alivyokuja alikuta k vant nusu chupa akagida yote,jana nikasema ngoja nikachukue tena chupa kubwa tuje tupige na jamaa ikakata,nikaona kaenda shop kaja na double kick,leo nimemkuta yuko na chupa ya k vant anapiga taratibu tu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukute anatabia ya kuota mademu zake
Anaanza kukushika shika unaweza tia mtu kofi usingizini akizinduka unasingizia wachawi
Yule jamaa sijui aisee
 
Au alitaka akutatue marinda kimasihara [emoji28][emoji28][emoji1544]yaani anakufata kwa kasi kiasi hicho [emoji276]
Mkuu yule jamaa ni kero aisee sijui hata akili zake zipoje ni kitambo ila nashukuru aliahidi kukaa wiki na ikawa hivyo angezidisha ningekuja kuomba ushauri humu[emoji1][emoji1]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwa sisi ambao hatuja zoea kulala wanaume watupu kitanda kimoja hii kitu inatuumiza Sana ukifika muda wa kulala
 
Huo ni ubaguzi kamanda
Mzee kufikua kwa mtu hatukatazi ila ukifika hata Kama umeambiwa jisikie upo nyumbani Basi ndio ulete ujinga wa nyumbani kwenu hapana. Alafu Kuna vitu vya kufanya ukiwa ugenini na Kuna vitu vya kubeba unapo enda ugenini. Lazima ubebe shuka lako, lazima ubebe taulo nk
 
Hiyo hali huwakuta vijana wengi wakimaliza chuo, huku wakisubiri kupata ajira
 
Jaribu kumshauri kwamba mwenendo wake sio mzuri kwa mtu mwenye lengo la kujipanga
 
Akienda Chooni Kumwaga Ndogo Hiyo Harufu.......
Timua Haraka Ama Mpeleke Mbozi Road, Hapo Dar Es Salaam
Kuna Kiwanda Cha Konyagi, Akalewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee namna nzuri ya kumsaidia mtu ni kumnunulia godoro, net na kumlipia kodi ya miezi 3 full stop, wabongo hatuna ustaarabu na kujisahau kwingi, usipokaa sawa hapo atamaliza mwaka na hana shughuli ya kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…