Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

🤣mkuu ,alikua "anakufataje"
mimi kuna lijamaa lilikuja limelewa tukalala nalo basi linakoroma na kujamba sana
 
[emoji23][emoji23]
 
Alivyokuja alikuta k vant nusu chupa akagida yote,jana nikasema ngoja nikachukue tena chupa kubwa tuje tupige na jamaa ikakata,nikaona kaenda shop kaja na double kick,leo nimemkuta yuko na chupa ya k vant anapiga taratibu tu.
Mtu akikaa kwako sio awe mtumwa,tena ni mtu mzima huyo,ni shida tu ndo zimemfanya afikie kwako ,naamin akifanikiwa atakupisha,sasa sio ndo uanze kumpangia had vitu vya kunywa kisa Yuko kwako,suala la usafi na mpangilio wa nyumba yako ilo unaweza kumuweka sawa ,lakin sio personal life yake ,hell no,hiyo naikataa kabisa,huyo mtu atakua ana mambo meng kichwan yanamnyima raha hivyo pombe ndo tulizo lake apate usingiz,uende ukija huwa unamuangalia jicho baya ivyo anajidunga mi kvant ukija ukute kalala
 
Tafuta demu kama hujaoa weka ndani ataondoka mwenyewe.
 
Tatizo ni wewe ndugu yangu.

Badala ya kuja kulia lia mtandaoni ungempa msimamo kwanza kisha utuambie hapa umempandisha basi la saa ngapi
 
Vizur zaidi ungekaa nae ukamshauri kuliko kuja kumwanika hapa jf, kila mtu ana mapungufu hata wew pia una yako japo huzidiana, ni bora zaidi kustiriana kwa mapungufu, leo umeleta la jamaako kesho utaleta ya mkeo
 
Mkuu we una moyo sana
 
Ni bora niishi peke yangu nilishakubali kubeba lawama.

Umewahi kuishi na jamaa ambaye suala la usafi yeye halimhusu!? Kuanzia yeye mwenyewe anapolala, kuoga, kupiga mswaki, kufua, vyombo vinavyotumika hata ndani kwa ujumla! Hii ni zaidi ya adhabu.
 
Tafuta mke, atakutandikia kitanda. Atakupikia vizuri.
Hutapata wageni wa aina hiyo kabisa.
 
Watu hao ni kujaza choo tu, kuwa mkali, kama ni siku mbili anakaa, akupishe na ratiba yako. Sisi waafrika hatuulizi mgeni anakaa siku ngapi ! Basi atakaa mda apendao! Mimi siangalii makunyanzi! Siku sikiisha nachukuwa chumba
 
Ipo siku ataleta demu Geto alafu akwambie wewe ndo ukatafute pakulala
 
Nimesoma comments zoote,

Guys thank you kwa kuniongezea siku za kuishi, aisee nimecheka sana, ooh God Watz tuna maneno sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…