Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni wewe ndugu yangu.

Badala ya kuja kulia lia mtandaoni ungempa msimamo kwanza kisha utuambie hapa umempandisha basi la saa ngapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni bora niishi peke yangu nilishakubali kubeba lawama.

Umewahi kuishi na jamaa ambaye suala la usafi yeye halimhusu!? Kuanzia yeye mwenyewe anapolala, kuoga, kupiga mswaki, kufua, vyombo vinavyotumika hata ndani kwa ujumla! Hii ni zaidi ya adhabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wa dar bwana, nyie mkija mikoani mnatuletea mikate miwili au mikono mitupu, si tunawapokea kwa bashasha, migimbi, ng'uruka, tunawafungashia na n.k, nyie kidogo nyuz kibao jf, mkija kuripoti kazi tunawapokea fresh tu, Ila nyie kulalama hamjambo.
 
Una roho mbaya sana mwana duh[emoji23]
 
Kuna mshkaji wangu mmoja tulikua tunaishi majiran tumekuwa wote na tumesoma wote, sasa pale kwao kulikua kuna wana wamepanga chumba wanakaa watatu wanafanya biashara za kuchoma sambusa wanazipeleka Town.

Sasa wale washkaji walikua ni ndugu walikutana na jamaa mmoja kabila lao wakamsaidia wakampa mchongo wao wakawa wanaish kama ndugu japo yule mkubwa wao alikua na mke kapanga sehem nyngine... alikua tu anakuja kutengeneza mazaga wanapeleka Town.

tulikua tumewazoea sana kama mabrother kuna kipind walikua wanaondoka wanaacha kile chumba tunalala sisi kama kuwalindia tu.. sasa yule msela waliomsaidiaga alikua na tabia fulan za kipimbi , yule pimbi muda wa kulala ana lala uchi anavua kila kitu mpka boxer alafu anajifunika shuka huwezi jua kama yupo uchi!! sijui boxer alikua anavua muda gn? kuna siku tulilalaga watatu na huyo fala, jamaa yangu alilala katikati sasa ile usku anajinyoosha bahati mbaya akamshika tako yule pimbi, .msela wangu akaniamsha oya huyu fala kalala uchi.. tukamuasha oya mbona unalala uchi et mimi ndo nalalaga hivi kuanzia siku hiyo sikulalaga mule tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada ili kumuokoa huyo jamaa mwaga pombe zote,atakunywa maji akome Ukimsemesha ataona unamnyanyasa
 
Mkuu isijekuwa ni lile li toto la dadangu nililolimwaga huku kwangu? Nasikia limekimbilia Dar eti kwenda kutafuta maisha lakini lilevi kupindukia! Kwani lenyewe lina ujuzi gani wa kuleta mjini?
 
Watu wa dar bwana, nyie mkija mikoani mnatuletea mikate miwili au mikono mitupu, si tunawapokea kwa bashasha, migimbi, ng'uruka, tunawafungashia na n.k, nyie kidogo nyuz kibao jf, mkija kuripoti kazi tunawapokea fresh tu, Ila nyie kulalama hamjambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi lol.
 
Una roho mbaya sana mwana duh[emoji23]
Bora aisee kuliko kukaa na mtu hana msaada kuna siku alinikera sana nimekaa zangu naangalia BBC habari akaja akabadilisha channel bila kuuliza naangalia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…