Siku zote mti wenye matunda matamu ndiyo hupopolewa na walaji. Nadhani TAL ni tishio sana kwa uwepo wa CCM, mafisadi, machawa na wote walamba viatu. Ila jamaa yupo smart kichwani na mtu anayeweza kui-shape vizuri sana nchi yetu ndiyo maana wababaishaji wanamhofia kila kona.relax my lady,
jifunze tu kupokea ukweli katika utulivu maana hakuna namna nyingine sasa kueleza ukweli huu..
itakubidi uzoeee tu π
Sure gentleman,Siku zote mti wenye matunda matamu ndiyo hupopolewa na walaji. Nadhani TAL ni tishio sana kwa uwepo wa CCM, mafisadi, machawa na wote walamba viatu. Ila jamaa yupo smart kichwani na mtu anayeweza kui-shape vizuri sana nchi yetu ndiyo maana wababaishaji wanamhofia kila kona.
Gentleman,Magufuli aliwa sema ukiona mpinzani wako anakusifia ujue kuna sehemu umekosea ndo maana vijana kutoka kijani wanamnanga Lissu huku wakimsifu mbowe
Tundu lisu anawatesa kina mbowe
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?π
Mungu Ibarki Tanzania.
elezea wadau kinagaubaga gentleman,Kama ambavyo LIPUMBAvu linapendwa na kamati na wajumbe wengi wa mkutano Mkuu
Mwisho wake kisiasa umekaribia mwisho.Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?π
Mungu Ibarki Tanzania.
Gentleman,Hata mwanafunzi wa form two B anaweza kugundua hilarious hizi. Yaani wapenzi wa Yanga kuwachagulia Simba kocha au wa Simba kukomalia kocha fulani kwa Yanga!
Akili za kitoto hizo mlizo nazo maccm. Likija swala la kutumia mbinu za akili CCM ni bongolala kabisa yaani 20% uwezo wao uko kwenye Wizi, mabavu na uporaji tuu!
Msipoteze nguvu zenu bure, mmeshtukiwa.
Uh, naona tafsiri yako siyo sahihi kwa nilichokiongea. Narudia tena, TAL ndiyo mtu sahihi sana wa kui-shape TZ ili iwe yenye demokrasia ya kweli. TAL siyo mnafiki, ni muwazi, hapendi dhuluma, hapendi uonevu ndiyo maana anawatetea sana wananchi ambao ni kama hawaelewi wapeleke wapi shida zao ili zitatuliwe. Ukiweka uchawa na unafki pembeni, utamwelewa TAL ni mtu wa aina ganiSure gentleman,
huyo muungwana ni kitisho mno kwa umoja na amani ndani ya chadema, na kwakweli mdomo na makelele yake ni kitisho kwa demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini,
ni muhimu sana,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema kuwakataa watu kama hawa, na kwakweli kuwaabisha kwa kuwanyima kura kabisa.
itakua ni makosa makumbwa sana, kibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi kupata kura hata moja tu kwenye uchaguzi wa chadema π
Gentleman,Uh, naona tafsiri yako siyo sahihi kwa nilichokiongea. Narudia tena, TAL ndiyo mtu sahihi sana wa kui-shape TZ ili iwe yenye demokrasia ya kweli. TAL siyo mnafiki, ni muwazi, hapendi dhuluma, hapendi uonevu ndiyo maana anawatetea sana wananchi ambao ni kama hawaelewi wapeleke wapi shida zao ili zitatuliwe. Ukiweka uchawa na unafki pembeni, utamwelewa TAL ni mtu wa aina gani
Ngoja tuone nani mwenye tatizoNi wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?[emoji205]
Mungu Ibarki Tanzania.
Anayeteseka anaonekana kwa matendo na matamshi yake.Hatulii utafikiri amekalia misumari ya moto na mdomoni kuna uji wa moto.Kila siku Interview na matamko huku Mwamba katulia.Tundu lisu anawatesa kina mbowe
Kukusaidia wewe mwenye tatizo la kudandia matukio lakini sio mfuatiliaji wa issues , Lissu alisimama kidete dhidi ya Chacha Wangwe wakati huo Chacha Wangwe alipokuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA , pia ni Lissu aliyesimamia mashtaka dhidi ya Zitto.Ngoja tuone nani mwenye tatizo
Mbowe vs Chacha Wangwe
Mbowe Vs Zitto Kabwe
Mbowe vs Msigwa
Mbowe vs Lissu
actually,Ngoja tuone nani mwenye tatizo
Mbowe vs Chacha Wangwe
Mbowe Vs Zitto Kabwe
Mbowe vs Msigwa
Mbowe vs Lissu
Hiyo habari kuwa anawachukia wajumbe alikuambia lini?Gentleman,
relax na utulize mawenge..
hakuna haja ya kuwachanganya wadau na masuala asiyohusika.
elezea wadau kwa kiufupi tu,
ni jinsi gani huyo muungwana mwenye chuki na uhasama dhidi ya viongozi waandamizi wenzake ndani ya chadema, lakini pia anae wachukia wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, anaweza kuchaguliwa na watu asio wapenda?π
alie mdanganya kibaraka kwamba eti atashinda uenyekiti wa Chadema Taifa inasemekana ni wewe, dahHiyo habari kuwa anawachukia wajumbe alikuambia lini?
Naona kwa ccm umbea hauna mwanamke au dume, wote hawatofautiani!
Machale mkuuHata mwanafunzi wa form two B anaweza kugundua hilarious hizi. Yaani wapenzi wa Yanga kuwachagulia Simba kocha au wa Simba kukomalia kocha fulani kwa Yanga!
Akili za kitoto hizo mlizo nazo maccm. Likija swala la kutumia mbinu za akili CCM ni bongolala kabisa yaani 20% uwezo wao uko kwenye Wizi, mabavu na uporaji tuu!
Msipoteze nguvu zenu bure, mmeshtukiwa.
Kwa tulipo fikia TL akwepeki la msingi we jali maokoto unayopewa maana ni mwaka wa mavuno baada ya hapo njaa itakurudia na utaenda kushinda kibarazani kwake kipindi tumempa cheo cha heshima. Ataitwa Mzee mbowe mshauri wa chama.Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.
Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.
Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,
Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.
Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.
The gentleman is completely not popular any more.
Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.
hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?π
Mungu Ibarki Tanzania.
Nchi hii vilaza wapo wengi ww ni mmoja waoNi wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.