Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

relax my lady,
jifunze tu kupokea ukweli katika utulivu maana hakuna namna nyingine sasa kueleza ukweli huu..

itakubidi uzoeee tu 🐒
Siku zote mti wenye matunda matamu ndiyo hupopolewa na walaji. Nadhani TAL ni tishio sana kwa uwepo wa CCM, mafisadi, machawa na wote walamba viatu. Ila jamaa yupo smart kichwani na mtu anayeweza kui-shape vizuri sana nchi yetu ndiyo maana wababaishaji wanamhofia kila kona.
 
Sure gentleman,
huyo muungwana ni kitisho mno kwa umoja na amani ndani ya chadema, na kwakweli mdomo na makelele yake ni kitisho kwa demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini,

ni muhimu sana,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema kuwakataa watu kama hawa, na kwakweli kuwaabisha kwa kuwanyima kura kabisa.

itakua ni makosa makumbwa sana, kibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi kupata kura hata moja tu kwenye uchaguzi wa chadema 🐒
 
Magufuli aliwa sema ukiona mpinzani wako anakusifia ujue kuna sehemu umekosea ndo maana vijana kutoka kijani wanamnanga Lissu huku wakimsifu mbowe
Gentleman,
elezea wadau wa JF,

ni namna gani mtu mwenye chuki na uhasama dhidi ya viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa ambao ni wapiga kura, wanaweza kumchagua kiongozi anaewachukia?🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Tundu lisu anawatesa kina mbowe

Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,

Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.

The gentleman is completely not popular any more.

Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.

hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒

Mungu Ibarki Tanzania.

Lissu ni Mwanaharakati Mzuri sana. Ila kwenye siasa za Tanzania ana Mapungufu mengi na simuoni kama ana ubunifu wa kukabiliana na rafu za CCM na serikali yake.

Ikitokea Lissu akachukua Uwenyekiti, Chadema itapanda sana chart kwa vile itapelekea mashabiki wengi wa siasa ambao hawana imani na hawako CCM kuisupport Chadema. Very possible kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi, Chadema itaizidi CCM popularity. Ila wote tunajua matokeo ya mwisho yatakavyotangazwa.

Kwa ujumla Lissu anaweza sana kuongea na kuconvise watu vilevile kwa siasa za kiharakati. Ila sidhani kama ni mobilizer mzuri ambaye anaweza kuwapeleka watu barabarani kama tunavyotaka kufikiri. Kwa hili sijawahi kumuona kama analiweza.

Kitu ambacho tutegemee kama Lissu atachuku cheo ni kuwa Chadema itapanda sana chart kmwaka 2025 lakini baada ya uchaguzi itashukka kwa kasi na ikiwezekana itasabaratika mikononi mwa Lissu. Nalisema hilo kwa vile wote tunajua kabisa kuwa Lissu is not a very good Leader na ni MR. I know every thing ..... Kama hatabadilisha design yake ya kiuongozi, kwa miaka 5 madarakani Chama kitakuwa na Migogoro ya kufa mtu!!

That's my opinion...!!
 
Kama ambavyo LIPUMBAvu linapendwa na kamati na wajumbe wengi wa mkutano Mkuu
elezea wadau kinagaubaga gentleman,

inawezekanaje kiongozi mgombea uenyekiti, anaewachukia wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni wapiga kura anaweza kuchaguliwa na watu anaowachukia?🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.

Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.

Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,

Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.

The gentleman is completely not popular any more.

Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.

hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Mwisho wake kisiasa umekaribia mwisho.

Salama yake iliyobakia ni kuanzisha chama chake kitakachokuwql na mashabiki wa mtandaoni huku akihadaa vyama vya mashoga duniani waendelee kumpa pesa kwa gia ya kutetea maslahi yao.
 
Hata mwanafunzi wa form two B anaweza kugundua hilarious hizi. Yaani wapenzi wa Yanga kuwachagulia Simba kocha au wa Simba kukomalia kocha fulani kwa Yanga!
Akili za kitoto hizo mlizo nazo maccm. Likija swala la kutumia mbinu za akili CCM ni bongolala kabisa yaani 20% uwezo wao uko kwenye Wizi, mabavu na uporaji tuu!
Msipoteze nguvu zenu bure, mmeshtukiwa.
Gentleman,
relax na utulize mawenge..

hakuna haja ya kuwachanganya wadau na masuala asiyohusika.

elezea wadau kwa kiufupi tu,
ni jinsi gani huyo muungwana mwenye chuki na uhasama dhidi ya viongozi waandamizi wenzake ndani ya chadema, lakini pia anae wachukia wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, anaweza kuchaguliwa na watu asio wapenda?🐒
 
Sure gentleman,
huyo muungwana ni kitisho mno kwa umoja na amani ndani ya chadema, na kwakweli mdomo na makelele yake ni kitisho kwa demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini,

ni muhimu sana,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema kuwakataa watu kama hawa, na kwakweli kuwaabisha kwa kuwanyima kura kabisa.

itakua ni makosa makumbwa sana, kibaraka wa mambwenyenye ya Magharibi kupata kura hata moja tu kwenye uchaguzi wa chadema 🐒
Uh, naona tafsiri yako siyo sahihi kwa nilichokiongea. Narudia tena, TAL ndiyo mtu sahihi sana wa kui-shape TZ ili iwe yenye demokrasia ya kweli. TAL siyo mnafiki, ni muwazi, hapendi dhuluma, hapendi uonevu ndiyo maana anawatetea sana wananchi ambao ni kama hawaelewi wapeleke wapi shida zao ili zitatuliwe. Ukiweka uchawa na unafki pembeni, utamwelewa TAL ni mtu wa aina gani
 
Tanzania haiwezi kua chini ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hata sekunde moja, chukua hiyo point na uache kuamini ushirikiana mwingine.

kiongozi wa kuona kila kiongozi mwenzake ni adui na mbaya wake, kiongozi mchochea chuki na migawanyiko, anaweza tu kuwaongiza wenye midomo na makelele kama yake, but not chadema nor Tanzania 🐒
 
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.

Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.

Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,

Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.

The gentleman is completely not popular any more.

Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.

hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?[emoji205]

Mungu Ibarki Tanzania.
Ngoja tuone nani mwenye tatizo
Mbowe vs Chacha Wangwe
Mbowe Vs Zitto Kabwe
Mbowe vs Msigwa
Mbowe vs Lissu
 
Tundu lisu anawatesa kina mbowe
Anayeteseka anaonekana kwa matendo na matamshi yake.Hatulii utafikiri amekalia misumari ya moto na mdomoni kuna uji wa moto.Kila siku Interview na matamko huku Mwamba katulia.
 
Ngoja tuone nani mwenye tatizo
Mbowe vs Chacha Wangwe
Mbowe Vs Zitto Kabwe
Mbowe vs Msigwa
Mbowe vs Lissu
Kukusaidia wewe mwenye tatizo la kudandia matukio lakini sio mfuatiliaji wa issues , Lissu alisimama kidete dhidi ya Chacha Wangwe wakati huo Chacha Wangwe alipokuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA , pia ni Lissu aliyesimamia mashtaka dhidi ya Zitto.

Hivyo kama ni tathmini ya wawili hao kuondolewa CHADEMA mchango wa Lissu ni mkubwa kuliko ule wa Mbowe.
 
Ngoja tuone nani mwenye tatizo
Mbowe vs Chacha Wangwe
Mbowe Vs Zitto Kabwe
Mbowe vs Msigwa
Mbowe vs Lissu
actually,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Lazima atakataliwa kwa kishindo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa chadema, siku ya uchaguzi 🐒
 
Gentleman,
relax na utulize mawenge..

hakuna haja ya kuwachanganya wadau na masuala asiyohusika.

elezea wadau kwa kiufupi tu,
ni jinsi gani huyo muungwana mwenye chuki na uhasama dhidi ya viongozi waandamizi wenzake ndani ya chadema, lakini pia anae wachukia wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, anaweza kuchaguliwa na watu asio wapenda?🐒
Hiyo habari kuwa anawachukia wajumbe alikuambia lini?
Naona kwa ccm umbea hauna mwanamke au dume, wote hawatofautiani!
 
alie mdanganya kibaraka kwamba eti atashinda uenyekiti wa Chadema Taifa inasemekana ni wewe, dah

aise ulimshika maskio vizuri haswa 🐒
 
Hata mwanafunzi wa form two B anaweza kugundua hilarious hizi. Yaani wapenzi wa Yanga kuwachagulia Simba kocha au wa Simba kukomalia kocha fulani kwa Yanga!
Akili za kitoto hizo mlizo nazo maccm. Likija swala la kutumia mbinu za akili CCM ni bongolala kabisa yaani 20% uwezo wao uko kwenye Wizi, mabavu na uporaji tuu!
Msipoteze nguvu zenu bure, mmeshtukiwa.
Machale mkuu
 
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.

Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.

Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,

Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.

The gentleman is completely not popular any more.

Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.

hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Kwa tulipo fikia TL akwepeki la msingi we jali maokoto unayopewa maana ni mwaka wa mavuno baada ya hapo njaa itakurudia na utaenda kushinda kibarazani kwake kipindi tumempa cheo cha heshima. Ataitwa Mzee mbowe mshauri wa chama.
 
Urafiki wa CCM na Chawa wake Kwa Mbowe tumetoka wapi?

Ni hivi tunakwenda na TAL
CHADEMA wakizingua tunahamia Kwa Hashimu Rungwe Mzee wa ubwabwa
 
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda.

Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi kwa muda mrefu huku akiwa amejifunika kwa tabasamu la kinafiki anapokua na viongozi wenzake waandamizi kwenye vikao.

Ni wazi amekosa sifa ile muhimu sana ya kiongozi kua alama ya umoja na amani miongni mwa viongozi waandamizi wenzake na watu wote anaowaongoza,

Badala yake,
amekua mchochea chuki, uhasama, uadui, makundi na migawanyiko miongni mwa viongozi wenzake lakini pia baina ya anao waongoza.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo hekima na busara zake zinashuka na kupotea kabisa.
Haiaminiki tena, hana ushawishi tena, hakubaliki tena bali anadharaulika mno hivi sasa, na ana puuzwa kwa kasi ya kiwango cha juu mno kama mwanasiasa na mwanasheria mbobevu.

The gentleman is completely not popular any more.

Kiufupi,
amekosa sifa za kua kiongozi kiunganishi wa kitaifa wa chama na kwahivyo, hakuna mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa wa chadema anaeweza kumchagua kiongozi asie na staha kama huyo, na wala hakuna chama cha siasa nchini kinaweza kumpatia nafasi kiongozi asie na hekima wala nidhamu kama huyo muungwana.

hivi mtu kama huyu atachaguliwaje ikiwa kila kiongozi au mjumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema ni adui au mbaya wake?🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Nchi hii vilaza wapo wengi ww ni mmoja wao
 
Jamaa ameamua liwalo na liwe, anatrash talk kuanzia chama, wanachama, mpaka viongozi wenzie. Anaona aanayefaa ni yeye peke yake.
Hiki kijamaa ni hamnazo kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom