Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbinu za kubambika kesi huwa hazitumiki kwenye matukio halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh. wa kupimwa weweMh ndugu taratibu.
Unatakiwa uangalie je Tz ni nchi ilopitia matokea haya mara ngapi na imezoelekaje mazingira yake?
Tz imezoeleka nchi ya amani ndugu na ndio maana hata tukio km la jana limesumbua kwasababu jeshi letu lime relax kulingana na hali ilokuwepo nchini.
Jiulize mbn USA walishindwa kumkamata Farah Somalia na wao walikua na jeshi kubwa well equiped?
Angekuwa anashoot hovyo, wa kwenye ile gari / daladala wote wasingekuwepo sasa hvi au yule mzee aliyejikunyata pembeni yakeInategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Sister, usiombe kukutana na wazee wa interrogation hasa hawa wa nchi za kiafrica ambazo human rights zipo kwenye makaratasi.. huyo hata dk 30 asingemalizaMtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Una akili kama huyu mdudu 🐛Weka picha ya hayo magoti ,
USSR
Mwamba alipigwa bomba akiwa wima na mashine yake mkononiKatika picha zilizopigwa kuna gap pale anapopigwa risasi. Maybe the video was doctored? Kwa sababu huyu ni eye-witness amezungumza hivyo. Sasa witnesses pale walikuwa wengi,wengi sana. Haipaswi kuwa vigumu kufahamu ukweli wa hili jambo.
Na Mimi niliona hivyo hivyo.Mwamba alipigwa bomba akiwa wima na mashine yake mkononi
Tumeona video akipigwa risasi ya kichwa. Hakuwa amepiga magoti, alikuwa amesimama wima ndipo akaanguka.Yule mtu alikuwa gaidi. Shuhuda Happy Manono anasimulia. Alitokea baharini,(beach), akachomoa silaha mbili,"akaongea, Allahu Akbar,akawapiga risasi polisi,akawanyang'anya silaha. Kila alipokuwa anapiga risasi chache,alikuwa anasema,'Allahu Akbar',halafu risasi zilipomuishia,akapiga magoti,akanyoosha mikono juu."