Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Watu kwa kuzua tu, hatujambo. Kwa mujibu wa zile clip, Jamaa alionekana amesimama wima huku akitamba barabara yote, ndipo akalambishwa shaba, leo tunaambiwa ALIPIGA MAGOTI!Na Mimi niliona hivyo hivyo.