Tukio moja kila mtu ameona kivyake. Hakuna jipya hapa
Haiwezekani kila mtu aone kivyake. Hilo ni jambo
Hii picha clearly inaonyesha Hamza hakupiga magoti. Yule witness sijui alikuwa ana matatizo gani
 
Nilipingana na Magufuli ,kuwa Tanzania imefika uchumi wa wakati.Aisee ilikuwa si ukweli.Kwa kuwa watu wengi hawana uelewa kama mwenye huu Uzi.
 
Mi nikadhani simu yangu mbovu kume wameziblok! Nakosa uhondo mie
 
Mji kama dar police hawana armoured vehicle, wanaenda kukabiliana na majambazi wako kwenye Pickup, lazima tukubali haya ni mapungufu, tumejaza mi ashok jeshi la police utafikiri wako vita vya kwanza vya dunia
 
Niliwahi shauri....askari waajiliwe kwa kufuata vyeti vyenye maks nyingi kinyume na sasa.inshort "Intelligence needs Intelligent People"!!
Sasa angalia fwafwa znavotumika sasaaa!! Angalia sasa The decision have supremely suppressed the whole Source!!
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…