Pole sana, Wanaume tunapitia maumivu mengi sana. Hakuna kitu kizito kama kuchapiwa.
Wewe mda wote huo wa miaka kumi umetembea na wanawake wangap tofauti na mke wako ???Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
We utakuwa bado mtoto sanaNina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Nashukuru Sana umenielewa..katika watu wote wewe ndiyo umenielewa...hata wale nliokuwa naonaga ni wepisi kuchambua mambo,Wana comment bila kuelewaNilichogundua watanzani sijui ni stress za maisha au ni elimu unacomment kitu kwa mihemko huku hujaelewa ndio nini soma kitu uelew kwanza mshikaji kasema ameishi na mkew miaka 11 mwaka 8 na 9 wakiwa pamoja mwanamke ndio kachepuka
once woman is always womanNina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Sasa ndug na wewe c umelala na rafiki yake tatzo Liko wapi, ungetaka watu wakushauri vyema usingeyasema ayo mengine watu wamekuwa tofauti kutokna na story yako ilivyo.... Kwamba uliekuwa una muuliza background ya mkeo nae ukalala nae.... Hapo hapo....Nashukuru Sana umenielewa..katika watu wote wewe ndiyo umenielewa...hata wale nliokuwa naonaga ni wepisi kuchambua mambo,Wana comment bila kuelewa
Nashukuru kwakuwaelewesha..ndani ya hiyo miaka ndiyo ametembea na hao wanaume,wengine ni rafiki zangu na wengine wapo mtaani napoishi nae...napishana nao njiani tunasalimiana vizuri kwa heshima,kumbe jamaa alishakumegea mkeo..kwahiyo ni wanaume ambao ametembea nao NIKIWA NAISHI NAE.. SIYO STORY ZA NYUMA..KWANZA NILIKAKUTAGA BIKRA..watu wanakurupuka ku comment bila kuelewaElewa maada mezani.
Hao wanaume ametembea nao akiwa tayari anaishi na mshikaji.
Na sio kabla.
Yani tuseme wewe uishi na mkeo miaka 10, halafu uje ugundue ndani ya hiyo miaka mmeishi wote, ameshagongwa na wanaume si chini ya sita.
wameishi miaka 9 ila miaka mi3 nyuma mwanamke kaliwaaa... story alipewa mwaka juzi jamaa analeta mashta leo hapo ashamzalisha watoto watatu. bado haina maana kuleta mashtaka leo
Sasa huyo mkeo cha woteee...Hujanielewa mzee..soma vizuri comments na mada yangu..ametembea nao NIKIWA TAYARI NAISHI NAE,NA TUNA MTOTO WA
Alitembea nao kipindi mko wote au kabla? Wewe unatembea na wengine ilhali uko naye. Je unajaribu kutafuta nini?Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.
Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nao.
Mimi nikafanya kama simind hivi, ili aendelee kushusha maelezo nikamezea nikakatisha story. Tukaendelea na story zingine. Hapo hapo nikachomekea na mimi nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii kula tunda kimasihara)
Nilivyorudi home nikamkalisha wife chini, nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali. Nikamwambia kama unataka nikusamehe, niambie watu wote ambao umeshatembea nao, duuu alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu, wengine wanaishi mtaani kabisa ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma.
Haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyopita lakini na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini
Nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume, namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao na ukimwona ni kapole kweli kabila ni machame.
Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae na kurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini.
Kwa mimi nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kkla mtu aendelee na hamsini zake nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu.
Nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka watu wote hao sikujuaga hata mmoja?
Naombeni ushauri wakuu.
Ana utoto mwingi... kwa akili hizo kuna kitu ulifanya hujatuambia hapa, lazima ulianza kufuatilia kuzaliwa kwa watoto na kuangalia sura zao vizuri kwa umakini kiwango cha 9G.
Hacha kuogopa banned, mwaga nondo tushavurugwa na ndoa kumkata kata mapanga MTU, mbona vitu vya kawaidaWewe ni mpumbavu sana. Kwanza kuuliza mambo yaliyopita kabla hujawa na huyo mwanamke (after living with her for 11 years) ulikuwa unatafuta nini?
Umeshazaa naye watoto watatu unataka NANI mwingine aje akulelee hao watoto?
Ngoja niishie hapo nisije andika mambo mengine nikapata ban bure wakati sijawahi kuwa banned.