Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu hajachapiwa bali kafukua makaburi. Mwanaume unaanza kumuuliza mwanamke wanaume aliotembea nao kabla hajamuoa.
Huyu hamna kitu. Mm huwa siulizi hata. Umenikubali basi ila ukichepuka nipo nawewe hapo ni msala. Hao wa nyuma hawana maana
Pole sana, Wanaume tunapitia maumivu mengi sana. Hakuna kitu kizito kama kuchapiwa.
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Wewe mda wote huo wa miaka kumi umetembea na wanawake wangap tofauti na mke wako ???
Skia bro, yaani mpaka uka mwagia ndani na kumzalisha ndio wako huyo, huenda unge muoa hapo mwanzo asinge kuletea hayo mambo.
Mbaya zaidi umemzalisha watoto 3 umejipigia tu, sasa unataka umuwache huyo mwanamke kwa mda huo alio kaa na wewe unategemea arudi kwao na mwanaume gani wa leo hii akubali kudate na mwanamke aliye zalishwa na mwanaume ambaye haja muoa, tunajua tu atakuwa wa wote huyo na pia familia haiwezi muelewa.

Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke na sio mwanamke wa kuzaa naye. Ingekuwa mahusiano yenu ni ya miaka miwili kushuka chini hapo sawa ningekupa ushauri sahihi.

Unachotaka kukifanya sasa hivi ni kujiandaa kulogwa, fitna, kuathirika kisaikolojia haswa mzazi mwenzako akianza kutaka haki yake na mwisho kabisa ni watoto mtawaletea shida katika malezi.

Ushauri wangu muoe kwanza alafu mjudge kuanzia hapo, kumind kupigiwa sawa vipi na wewe huja wapigia wake za watu au wenzio?
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
We utakuwa bado mtoto sana
Yaani mwanamke kutom bwa na wanaume tisa unamaindi watu tuna mademu walishatombwa na wanaume mia tisa lakini tunakausha tu!
Hii dunia ya sasa ishabadirika ndugu ukitaka mwanamke wa peke yako zaa wa kwako halafu mfiche ndani kama msukule ila ukitaka binti wa kitaa jiandae kisaikolojia!
Ni sawa na kupata binti ana bikra ya mbele halafu unajisifu kwa wanaume wenzio kwamba mkeo ulimkuta bikra kumbe kuna wajanja walikuwa wanamtafuna nyuma!
 
Nilichogundua watanzani sijui ni stress za maisha au ni elimu unacomment kitu kwa mihemko huku hujaelewa ndio nini soma kitu uelew kwanza mshikaji kasema ameishi na mkew miaka 11 mwaka 8 na 9 wakiwa pamoja mwanamke ndio kachepuka
Nashukuru Sana umenielewa..katika watu wote wewe ndiyo umenielewa...hata wale nliokuwa naonaga ni wepisi kuchambua mambo,Wana comment bila kuelewa
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
once woman is always woman
 
Nashukuru Sana umenielewa..katika watu wote wewe ndiyo umenielewa...hata wale nliokuwa naonaga ni wepisi kuchambua mambo,Wana comment bila kuelewa
Sasa ndug na wewe c umelala na rafiki yake tatzo Liko wapi, ungetaka watu wakushauri vyema usingeyasema ayo mengine watu wamekuwa tofauti kutokna na story yako ilivyo.... Kwamba uliekuwa una muuliza background ya mkeo nae ukalala nae.... Hapo hapo....
 
Kwanza hii ni chai..

Tuijadili chai, kichai chai.

We mtoto wa watu miaka 10 unaruka tu ye kakupa heshima ya watoto, why wewe usimpe heshima yake kwa kumuoa!?
 
Elewa maada mezani.
Hao wanaume ametembea nao akiwa tayari anaishi na mshikaji.

Na sio kabla.

Yani tuseme wewe uishi na mkeo miaka 10, halafu uje ugundue ndani ya hiyo miaka mmeishi wote, ameshagongwa na wanaume si chini ya sita.
Nashukuru kwakuwaelewesha..ndani ya hiyo miaka ndiyo ametembea na hao wanaume,wengine ni rafiki zangu na wengine wapo mtaani napoishi nae...napishana nao njiani tunasalimiana vizuri kwa heshima,kumbe jamaa alishakumegea mkeo..kwahiyo ni wanaume ambao ametembea nao NIKIWA NAISHI NAE.. SIYO STORY ZA NYUMA..KWANZA NILIKAKUTAGA BIKRA..watu wanakurupuka ku comment bila kuelewa
 
Msamehe tu alikua n yy anatafuta ladha ya tofauti jamani, so ulitaka maisha yake yote awe n experience na dude Yako tu?

Any way keshapata test tofauti tofauti ambazo alikua hazijui sahv atatulia siulikakuta bikira bhn[emoji39]
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.

Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nao.

Mimi nikafanya kama simind hivi, ili aendelee kushusha maelezo nikamezea nikakatisha story. Tukaendelea na story zingine. Hapo hapo nikachomekea na mimi nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii kula tunda kimasihara)

Nilivyorudi home nikamkalisha wife chini, nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali. Nikamwambia kama unataka nikusamehe, niambie watu wote ambao umeshatembea nao, duuu alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu, wengine wanaishi mtaani kabisa ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma.

Haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyopita lakini na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini

Nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume, namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao na ukimwona ni kapole kweli kabila ni machame.

Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae na kurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini.

Kwa mimi nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kkla mtu aendelee na hamsini zake nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu.

Nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka watu wote hao sikujuaga hata mmoja?

Naombeni ushauri wakuu.
Alitembea nao kipindi mko wote au kabla? Wewe unatembea na wengine ilhali uko naye. Je unajaribu kutafuta nini?
Inapotokea hatua kuna watoto, basi ni busara kuweka maslahi Yao mbele, hasa malezi. Kama mnaishi pamoja, mketengana, wote mnaweza kupata watu wengine, ila watoto mtawaumiza Kwa kutokuwa kwenu pamoja.
 
... kwa akili hizo kuna kitu ulifanya hujatuambia hapa, lazima ulianza kufuatilia kuzaliwa kwa watoto na kuangalia sura zao vizuri kwa umakini kiwango cha 9G.
 
Ndo maana wanasema unapoanza mahusiano na mtu just start a new....Dunia ya Leo na kas yake unataka ujue alitembea na wangapi😳 aisee ...be a man ...ogopa magonjwa mkuu.Sijawahi muuliza mwanaume umedate idadi ngapi,utakuja kutana na mtu hajawahi sex na mtu ila alikuwa na interest na mbwa tu,then u will die aisee🙄
 
Wewe ni mpumbavu sana. Kwanza kuuliza mambo yaliyopita kabla hujawa na huyo mwanamke (after living with her for 11 years) ulikuwa unatafuta nini?

Umeshazaa naye watoto watatu unataka NANI mwingine aje akulelee hao watoto?

Ngoja niishie hapo nisije andika mambo mengine nikapata ban bure wakati sijawahi kuwa banned.
Hacha kuogopa banned, mwaga nondo tushavurugwa na ndoa kumkata kata mapanga MTU, mbona vitu vya kawaida

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwenyewe mzi zi umezini hadi na rafiki yake

Halafu ujinga ni kyulizia ulizia past za mtu kwa mwanamke ambaye unaenda kumkunja unategemea nini?

Kiufupi huyo mwanamke kala hasara hakuna muoaji hapo.....
 
Back
Top Bottom