Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Utakuta Kuna kidume kitamla bi mkubwa wako kabla ya mwezi kutisha!!! Anyway jamii forum imekuwa jukwaa la hovyo Sana washamba wamekuwa wengi mno
 
Mko wachache sana wengi wanatokea kwenye mlango mambo yakienda kombo na baadhi ni wale waliolewa nje na upendo walikuwa na sababu za kiuchumi, kimaisha na kujihifadhi au kufanana na wengine, unafiki haukai kwenye madhabahu
Kwa ninavyojua mwanamke kuchepuka kama sio tamaa ya pesa basi ni malayer kama malayer wengine hata huyo mwenye tamaa kujitoa kufanywa na watu wengi hajithamini tu bado
 
Wanawake kama wewe ni adimu sana!
I wish I could find one
 
Kwa ninavyojua mwanamke kuchepuka kama sio tamaa ya pesa basi ni malayer kama malayer wengine hata huyo mwenye tamaa kujitoa kufanywa na watu wengi hajithamini tu bado
Tamaa ya pesa na Umalaya unatofautisha vipi na Umalaya tafsiri yake ikoje na pesa inajitenga vipi katika muktadha wa umalaya
 
Kama uliweza kianzisha mapenzi ukayavunja utaliwa tuu nisuala la muda tuu mabahalia tunakumega na ndoa yako hio.
 
Usiongee hayo maneno endelea kumuomba Mungu azidi kukupigania na kuendelea kushinda hayo majaribu. Bado hujakamatika wewe.
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Mpakwa mafuta anae windwa,na usisahau ya kuwa kuna kufumaniwa,jana maeneo ya Saku huko jamaa kamfumania mkewe akiwa na mchepuko,jamaa alicho amua kuchukua kisu na kumchoma huyo mchepuko hadi kupelekea kifo chake,sasa hapo kuna matatu ambayo yote yanaweza kukutokea:-

1:Utoke salama baada ya kuzini na mkewe bila kufumaniwa.
2:Ufumaniwe na mwenye mke kisha akupake mafuta na ufumuliwe Tobo.
3:Ufumaniwe na mwenye mke kisha apoteze maisha yako

All in All atakae cheka mwisho ndio atacheka zaidi.
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
ukitafunwa na wewe utuletee mrejesho humu sawa playboy mchanwa marinda mtarajiwa
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Mm niku shaur achana na mke wa MTU...

Mm hujiepusha na wanawake ambao hawana akili....
Nikisha kugundua tu hauna akili mm
NATUMIA WIMBO WA CHRIS BROWN_DUCES
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Hopeless kabisa hiyo ni dhulma unaenda kufanya ipo siku malipo ni hapa hapa, utasikia Nina matatizo kibao kumbe yameanzia huku
 
Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana

2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka

3: wakataa ndoa

Nipo chini ya mti nakula upepo
 
Nilicho taka kuandika nimekisahau....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hivi ujasiri wa kuanika chattings km hivi huwa mnautoa wapi? Naona Kama ulimbukeni fulani hivi plus utoto.

Kujisifia kutembea na mke wa mtu huo nao ni udhaifu. Wanawake walivyo wengi ila bado unataka kuiba Mali ya mwanaume mwenzio asiye na hatia yoyote. Ulaaniwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…