Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mbaya zaidi jamaa anaenda kumpakia mkongo....Nikionaga iv uwa naumia sana roho yangu inaumaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi jamaa anaenda kumpakia mkongo....Nikionaga iv uwa naumia sana roho yangu inaumaa sana
Mbaya Zaid anaenda kumpakia mkongoHivi ujasiri wa kuanika charts km hivi huwa mnautoa wapi? Naona Kama ulimbukeni fulani hivi plus utoto.
Kujisifia kutembea na mke wa mtu huo nao ni udhaifu. Wanawake walivyo wengi ila bado unataka kuiba Mali ya mwanaume mwenzio asiye na hatia yoyote. Ulaaniwe!!
Hivi mwanaume unaanzaje kuoa mwanamke taahira kabisa ambaye hajui hata kuandika? Kwa hiyo anaandika ko, ukiona mtu wa hivyo amekuwa disqualified
Kukamatika ni ujinga tu hakuna mtu anafanya hayo bahati mbaya hasa mwanamke aliyeamua kuolewa kabisa! Lazima awe ameweka akili yake ktk kujiheshimu lakini pia navyojua mwanamke mara nyingi akishapenda mmoja hisia zooote ziko kwa huyo huyo sasa hao wengine hisia zinatoka wapi? Au kubakwa tuUsiongee hayo maneno endelea kumuomba Mungu azidi kukupigania na kuendelea kushinda hayo majaribu. Bado hujakamatika wewe.
Huwezi kuta mtu anatangaza akijisifia kwa watu kuwa ana pua na anaweza kupenga kamasi. Watu hutangaza mambo adimu wanayoyaona ni ya kipekee na magumu kuyapata.na huyu hashindwi ilimaradi tu
Anamlazimisha wapi manzi mwenyewe malaya tu anajiachia kijinga.Hizo chats inaonesha wazi kwamba unamlazimisha huyu manzi
Hivi ujasiri wa kuanika chattings km hivi huwa mnautoa wapi? Naona Kama ulimbukeni fulani hivi plus utoto.
Kujisifia kutembea na mke wa mtu huo nao ni udhaifu. Wanawake walivyo wengi ila bado unataka kuiba Mali ya mwanaume mwenzio asiye na hatia yoyote. Ulaaniwe!!
Daaah kwa ndoa za siku hizi zilivyo pasua kichwa, hakika ndugu yetu ni mmoja wa waliobahatika kukupata wewe, unajielewa sana kongole kwako.Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Anafanya zake uasheratiSiwezi kupata hisia za mapenzi kwa watu wawili kwa muda mmoja....hata nitesekeje na mume wangu ntavumilia labda nkidevorce ndo ntapata hisia kwingine sasa. Wanawake wengine khaa asuguliwe apo mchana, usiku mumewe aje tena asugue sasa hapo anafanya mapenzi au anabakwa
Kwa nini mkuu?Ila mwamba una moyo sana
Wewe uko upande gani mkuu?Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana
2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka
3: wakataa ndoa
Nipo chini ya mti nakula upepo
😅😅😅😅Waafrica bwana...wanajidai wao wanajua kuchapa kazi wakati kila leo wadhungu wanatuzidi. Tombaneni nyie mambo ya kufikiri maendeleo waachieni wadhungu
Inashangaza sanaMwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje