Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Wanaume walioa wanasoma uzi (viewers 1kHii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana
2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka
3: wakataa ndoa
Nipo chini ya mti nakula upepo
Wanang’amua mwandiko wa mke anayechatishwa