Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Dr vijana wa hovyo wapo mawindoniYou are both stupid!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr vijana wa hovyo wapo mawindoniYou are both stupid!
Acha wivuNasubiria mrejesho wako weekend....ila nakuhakikishia hauto fanikiwaa....
Sikutishi ila Swala lako [emoji41] [emoji41][emoji41][emoji41] nimelitolea report sehemu husika itakua funzo pia Kwa wengine maana ma bar maid wapo wengi
Naku hakikishia hili swala lipo sehemu husika na linafanyiwa kazi ili iwe funzo Kwa vidume wakware waharibifu wa wake za watu...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Acha wivuTatizo sio kuchakata mke wa mtu.. tatizo ni kuvujisha chats zenu hapa mtandaoni. Kimsingi mleta mada unajiona mjanja ila ni mpuuzi na mshamba mno. What if kwa bahati mbaya mume akaona hizo msg na bahati mbaya zaidi akauona na huu uzi? Vijana tumieni smartphone zenu kiakili.
Acha wivuMkuu dunia duara usisahau mafuta,aliwazalo mjinga......!
Wavulana mna shida sana.Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Acha achakate mbususuKwa Khali vijana wa kataa ndoa hakuna budi kuongezeka Kwa wingi.Chondechonde maamuzi unayoenda kufanya jaribu kufikiri mara mbili kama ingekuwa ni wewe mwenye mke.Ungefurahi kukuta sms za ex wa mke wako za aina hii
Pia inaonyesha una wivu kama mama wa kambo.Lakini umefumbia macho Kwa sababu sio upande wako.kama ulikuwa na wivu na demu ambaye huna malengo naye,vipi yeye aliyemuoa atakuwa na wivu na maumivu kiasi Gani Kwa tukio unaloenda kufanya mkuu
Acha wivuJua kabisa na mkeo ataliwa tu..
Acha wivuMke wa mtu sumu
Sijawahi dearVip wew ulishawahi kuchepuka?
Wew hujawahi kuchepukaInashangaza sana
Acha wivuKuwa makini au uende na mafuta.
Nimekumiss kwani ulipotelea wapi, asikufiche hivi na huku nje tunakuhitaji 😃Bado Nakupenda ujue
How mkuuMkuu huyu mwanamke ulimkoseaga
Jiandae kupigwa tukio
Kwa hii convo naona she’s gonna beat you in your own game
Duuu sio poa........vile nikifikiria a gentleman mmoja amefuma chatting zako na mkewe, ame proove without rasonable doubt kuwa umemmega mkewe (Chatting zinasema) na Mke amekiri na kuomba msamaha, mke ametii anachomuagiza mumewe, sasa wanakugeuka kwa pamoja, wanaweka mtego.
Mke ameridhia kabisa....... siku chache baadae mpango umeiva Mke wa Genteman ameku sort uka sortika, unakutana nae, lodge uliyoitafuta mwenyewe...... hamadi katika kati ya game chumba chenye jina la Kibondo muhudumu wa lodge anakuja kukugongea kuleta maji aliyoomba Mke wa Gentleman, uso kwa uso unakutana na Bouncers 7 Miraba Minne, wanaingia Room, purukushani kidogo wanatoa mafuta ya mgando ya vaseline, KY kwenye moja ya ki-bag chao, wawili wanne kati ya wale majitu ya miraba minne wanakushika kwa nguvu kwa kukuiinamisha, mmoja anakamua KY Jerry kwenye kidole.......mmoja anafungua mkanda wake anafungua zipp ...... Mmoja vupo na Camera Canon D12 nyuma yako, wakitamka maneno, mke wa mtu ni sumu... aisee huwa naogopa, na naheshimu sana wake za watu!!
Aisee naogopa nisije kutwa na hicho kitendo, maana malipizi makubwa yapo based kwenye kulipiza vile vile mkewe aliliwa, bora wale wanaokupiga Risasi kuliko hao!!
Mke wa Mtu ni sumu!!
Chakata mkuuView attachment 2531714
Wanawake kwenye ndoa mtulie jamani. Msishandane na sisi. Ona huyo mpuuzi hapo juu,nimempa hi tu anataka kukumbushia. Kaniudhi sana
Kataa ndoaSa unapoweka hapa...kwamba unatoa ujumbe gani??...Sijaelewa bado mantiki ya huu uzi?
Huo ni ufuska na matumizi mabaya ya mwiliWakoje tena ..sii wako kimwanamke zaidi🤣🤣🤣🤣
Mpuuzi ni wewe uliyemtafuta mkuu kuliko kujakumzalilisha huku ulikuwa na maana gani kumtafuatView attachment 2531714
Wanawake kwenye ndoa mtulie jamani. Msishandane na sisi. Ona huyo mpuuzi hapo juu,nimempa hi tu anataka kukumbushia. Kaniudhi sana