Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Safi sana dada hao wanaofanya hvyo ni kutojiheshim
 
Tatizo sio kuchakata mke wa mtu.. tatizo ni kuvujisha chats zenu hapa mtandaoni. Kimsingi mleta mada unajiona mjanja ila ni mpuuzi na mshamba mno. What if kwa bahati mbaya mume akaona hizo msg na bahati mbaya zaidi akauona na huu uzi? Vijana tumieni smartphone zenu kiakili.
Kashaziona,hili bwege km linajipenda hata Dar asisogee.
Unafanyaje mambo kitoto namna hiyo
 
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Hawajakushawishi vizuri au hawana fweza[emoji23]
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Mbona kwenye hizo Chats zenu unajieleza sana kama vile wewe ndiye mke wa mtu halafu yeye ndiye mwanaume?
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Mtakuja kupigwa pumbu hadharani bure, yaan unatongoza mke wa mtu na unamlazimisha kabisa. Endelea kujichanganya utakua mke mdg shauri yako
 
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Wakoje tena ..sii wako kimwanamke zaidi🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu,

Bombardier gani inatua Dar es Salaam saa saba mchana?

Nipo Mwanza hapa kuna shughuli ninaiwahi huko kabla ya saa nane ila nimekosa ndege inayofika kabla ya saa saba, imebidi nichukue inayofika saa tatu asubuhi.

Hebu nipe connection, maana nina kimeo asubuhi nitakosa fedha kiasi kama nikikikosa.
 
Bro, kuchepuka na mke wa mtu usitumie Txt, Sms, chats. Ni hatari.

Mie huwa napiga Simu.. Tena natumia WhatsApp kuwasiliana nae kwa kuongea nae na si kufanya huo ujinga wa kuchati chati. Utakuja kufanywa kitu special (Spesheli)
 
Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana

2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka

3: wakataa ndoa

Nipo chini ya mti nakula upepo
Vip wew ulishawahi kuchepuka?
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Anaekula cha mwenzie ma chake huliwa, omba Mungu aliwe mke wako.
 
Back
Top Bottom