Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Zinzi pro Max[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila isiwe kesi gonga tuu si ajabu ata manzi angu atakua analiwa na Mimi.
 
Siku zinakuja ambapo yote yaliyofanyika sirini yatawekwa adharani.

Watu kama nyie ndio mnaosababisha Wanawake wanakua na kiburi Kwa waume zao na kusababisha wanaume wanateseka sana.

Wanawake wamekua ni wazinzi sana wanachoficha ni kujulikana TU lakini wanachepuka sana.
Mnavunja ndoa za watu ,watoto wanateseka , laana ya asili iwe juu yenu mkifikisha umri wa miaka 40 mpatwe na Kisukari kikali kabisa ili mmalize kazi ya kuzini mapema maishani Mwenu. Wasichana wapo wengi warembo mnakimbilia wake za watu. Mmeleta mitafaruku mikubwa sana kwenye ndoa za watu.Mnasababisha mauaji na huzuni kubwa kwenye jamii. Maumivu mnayowapa wanaume wenzenu na watoto yatawarudia mapema maishani Mwenu. Kwa Uwezo wa Mungu aliyeumba wanaume na Wanawake akasema kila mmoja aoe na kuanzisha familia yake kupitia ndoa iwe ya wake wengi au mmoja nawaombea Magonjwa ya Kisukari na presha mkiwa Bado na umri wa miaka 40 kushuka chini. Halafu muishi miaka mingi huku mkiwa hamna uwezo wa kufanya mapenzi hata mara Moja Kwa mwaka.
Karma haitawaangusha wanaume na watoto mnaowaletea mateso Duniani.
 
Nafanya shughuli zangu na watu wenye pesa chafu nakiri kumzidi mume wangu ila siwezi kuchosha viungo vyangu kisa pesa ya mwanaume, kwanza kwann nikubali lijitu tu linaniingilia sina hisia nalo utafikiri nasokomezwa kijiti huko?
Lijiti lipi tena [emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]
20230213_101811.jpg
 
Tatizo ni kwamba wanawake wenye msimamo wa hivyo mmebaki wawili tu duniani.
Mmoja aligunduliwa visiwa vya Hawaii na amefariki mwaka jana kwa Corona na hata wewe utakuwa ushakufa hauko kwenye hii dunia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbwa dume wapo wengi sana tu
 
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
Hii chai ina sukari sana [emoji23]
 
Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye mke wake utanisamehe bure.
Mke wa Mtu ni sumu Mkuu, achana naye hebu fikiria ingekuwa ndio mke wako ana lazimishwa hivyo na ukagundua ungejisikia vipi?
 
Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata nikutane naye wapi hata mawasliano yangu hachukui, wa nini kwanza, kama tulipendana tungeoana lakini ilishindikana afu ndo nije kupata hisia juu yake tena? Dah sjui wanawake wengine wakoje
HII NDIO COMMENT INAYOELEWEKA AISEEE
HONGERA DADA... SIO KUWA NAKUFOKEA ...ILA NAPAYUKAA ILI WENGINE WASIKIEE
 
Back
Top Bottom