Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk

Hospitali zetu zinajulikana hazina magari yakutosha ya wagonjwa; tunaelewa kwamba Madaktari wa wilaya na Mikoa awaendi kwenye ajali wanasubiri waletewe majerui hospitalini, tunaelewa wazi kwamba usiku Madaktari wanakuwa wachache hospitalini na polisi wanakuwa wengi barabarani wakiwa na magari ya Doria. Nini kosa ya mganga mkuu wa wilaya na Mkoa?

Lakini pia kutokana na uchache wa wataalamu yawezekana hawa waliosimamishwa kazi ndio wataalamu wabobezi wanaotakiwa kuwahudumia hao wagonjwa na wagonjwa wengine kwenye maeneo Yao. Leo kuna watu wanakosa huduma zao hospitali Kwa Sababu wapo nybani wanasubiri uchunguzi kwanini walichelewa kwenda eneo la ajali.

Hebu tujiulize mkuu wa Wilaya alikuwa wapi wakati ajali inatokea? Tujiulize polisi walikuwa wapi? Mkuu wa mkoa na mganga mkuu wote wapo Tanga mjini, yeye alikuwa wapi hakuwahi kwenda kutoa huduma ya Kwanza? Kwanini kama yeye alishindwa kufika Kwa wakati anaamini Mganga mkuu angeweza kufika kwa wakati? Nani mwenye usafiri wa kuwahi eneo la tukio Kati ya mkuu wa mkoa na mganga mkuu?

Kama tunataka kuokoa maisha ya watu uchunguzi uendelee wakati hao wahusika wakiwa wanaendelea kutoa huduma. Tunaweza kutumia akili ndogo kwenye taaluma tukawapokonya uhai wagonjwa wengi.

Ilipotokea ajali ya ndege mwanza mafmdaktari mabingwa walikwenda kuokoa au walikaa kwenye vyumba vyao wakiwa na vifaa kutoa huduma?

Mkuu wa mkoa unataka kutuambia Mganga mkuu ana mobile hospital? Kwamba anaweza kwenda eneo la ajali na vifaa vya hospitali?

Nimetafakari Sana nikajiuliza wanaofanya kazi chini yake wapo salama? Ndio maana mkoa haupati maendeleo.
Mazembe kama mtoa mada ni kuwashughulikia tuu .
Hongera RC
 
Mgumba ni kilaza
 
Uchambuzi mzuri. Ulipopotoka ni pale unapounganisha yaliyojiri baada ya ajali kutokea, na uteuzi wa huyo Mkuu wa Mkoa. Kuunganisha huko kunaashiria wazi chuki yako dhidi ya uongozi wa Awamu ya Tano. Hilo ni suala tofauti ambalo ungeweza kuliandikia mada ya pekee badala ya kulichanganya na hilo la pili. Mtu anayekubaliana na wewe katika hoja moja anaweza kutofautiana na wewe katika hoja ya pili. Hivyo ndivyo ilivyo na mimi. Kukubaliana kwangu na wewe katika kuponda hatua aliyochukua Mkuu wa Mkoa kumepungua nguvu kutokana na kutofautiana na mtazamo wako wa Serikali ya Awamu ya Tano.
 
Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk

Hospitali zetu zinajulikana hazina magari yakutosha ya wagonjwa; tunaelewa kwamba Madaktari wa wilaya na Mikoa awaendi kwenye ajali wanasubiri waletewe majerui hospitalini, tunaelewa wazi kwamba usiku Madaktari wanakuwa wachache hospitalini na polisi wanakuwa wengi barabarani wakiwa na magari ya Doria. Nini kosa ya mganga mkuu wa wilaya na Mkoa?

Lakini pia kutokana na uchache wa wataalamu yawezekana hawa waliosimamishwa kazi ndio wataalamu wabobezi wanaotakiwa kuwahudumia hao wagonjwa na wagonjwa wengine kwenye maeneo Yao. Leo kuna watu wanakosa huduma zao hospitali Kwa Sababu wapo nybani wanasubiri uchunguzi kwanini walichelewa kwenda eneo la ajali.

Hebu tujiulize mkuu wa Wilaya alikuwa wapi wakati ajali inatokea? Tujiulize polisi walikuwa wapi? Mkuu wa mkoa na mganga mkuu wote wapo Tanga mjini, yeye alikuwa wapi hakuwahi kwenda kutoa huduma ya Kwanza? Kwanini kama yeye alishindwa kufika Kwa wakati anaamini Mganga mkuu angeweza kufika kwa wakati? Nani mwenye usafiri wa kuwahi eneo la tukio Kati ya mkuu wa mkoa na mganga mkuu?

Kama tunataka kuokoa maisha ya watu uchunguzi uendelee wakati hao wahusika wakiwa wanaendelea kutoa huduma. Tunaweza kutumia akili ndogo kwenye taaluma tukawapokonya uhai wagonjwa wengi.

Ilipotokea ajali ya ndege mwanza mafmdaktari mabingwa walikwenda kuokoa au walikaa kwenye vyumba vyao wakiwa na vifaa kutoa huduma?

Mkuu wa mkoa unataka kutuambia Mganga mkuu ana mobile hospital? Kwamba anaweza kwenda eneo la ajali na vifaa vya hospitali?

Nimetafakari Sana nikajiuliza wanaofanya kazi chini yake wapo salama? Ndio maana mkoa haupati maendeleo.
 
Kama tunataka kuokoa maisha ya watu uchunguzi uendelee wakati hao wahusika wakiwa wanaendelea kutoa huduma. Tunaweza kutumia akili ndogo kwenye taaluma tukawapokonya uhai wagonjwa wengi.

Ilipotokea ajali ya ndege mwanza mafmdaktari mabingwa walikwenda kuokoa au walikaa kwenye vyumba vyao wakiwa na vifaa kutoa huduma?

Mkuu wa mkoa unataka kutuambia Mganga mkuu ana mobile hospital? Kwamba anaweza kwenda eneo la ajali na vifaa vya hospitali?
Point chukua 🤜🤛
 
Watu waliopaswa kwenda haraka pale ni Polisi kikosi cha ZIMAMOTO NA UOKOAJI.

Hao wanaweza kushirikiana na wauguzi wa karibu na eneo la ajali kwa escort lakini siyo Daktari kuacha kutoa huduma hospital na kwenda kufuata majeruhi.
Isitoshe hata Majaliwa wa Precision air yuko hukohuko Tanga na alifanyiwa mapokezi makubwa na huyo RC
 
Pingapinga wapo kazini hao hawana jema wala hawaoni jema lolote linalofanywa na Serikali. Mungu anawaona nyote mnaopingana na RC
Hivi hata wewe akili yako inenda Kasi Sana angalia usianguke!

Huwezi kuwasimamisha kazi ukidhani Ni ADHABU meanwhile Kuna mass unahitaji huduma yao, Kuna wagonjwa pale Korogwe kila asubuhi na mchana, na tunavyojua tunashida ya madaktari!

Unajua kabisa kimsimaisha daktari haumounguzii Wala kimsimaisha mshahara wake Ni Kama yupo likizo tu na atarudi kazini!

Kuna vyombo responsible kwa ajili yankudeal na nidham na utendaji kwazi wa madaktari Kama MAT na wizara ya afya wao mpaka Sasa wamekaa kimya wanaangalia wanasiasa wanavyoruka na kukajagana.

Mkuu wa Mkoa tunaweza kimsimaisha kazi kwa sababu yeye na serikali yake wameshindwa kuweka sawa miundombinu ya kiusalama ikiwemo uokoaji, zimamoto na huduma za dharura kwa wagonjwa wa ajali along hiyo barabara kubwa!

Ajali imetokea usiku sio mchana madaktari wakiwa kazini usiku kila mtu Ana utawala binafsi! Mkuu wa wilaya anatakiwa awe standby muda wote incase of emergence Ila sio daktari aliyemaliza shift.

Kwanini mkuu wa wilaya awe standby. Yeye Ni mwenyekiti na kiongozi wankamati ya ulinzi na usalama wa eneo lake. Na nawaapongeza kufika kwa wakati au kwa kuchelewa kidogo! Je zimamoto na uokoaji?

Tujiulize pale Korogo DC madaktari wote Wana nyumba za kuishi pale pale na familia zao? Au wanaishi kwingine Kama Mombo na Lushoto Juu!

Kama wanaishi mbali je wamwwezeshwa kwa maana ya usafiri wa kufika kwenye eneo kazi instantly ? Nasimama na taaluma wekeni siasa pembeni ingawa ndugu zangu wamwfariki kabla ya kwalaumu na kuwaadhibu madaktari tuwanyooshee kidole wanasiasa na serikali yao inayokumbatia maviete ya mil 400 na Suti Nyesusi posho kila siku wanashindwa kuimarisha Idara ya zimamoto na uokoaji panapotokea majanga Kama haya.

Huyu Mgumba huyu si ndio ghala la TRA Lenye bidhaa za magendo liliungua akiwa RC? Zimamoto WALIKUA WAPI na alichukua hatua gani kuimprove hicho kitengo?

Ujinga Ni unjinga tu
 
Baada ya kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ni bora wahusika kuomba radhi kwa viongozi wao na wahanga wa ajali. Heshima ya taaluma ya utabibu hapa Tz isichafuliwe.
 
Mkuu wa mkoa alikuwa wapi wakati ajali inatokea kwann hakuwahi eneo la tukio kama boss wa mkoa, ndipo aamrishe mamlaka zingine zifike.
 
Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk

Hospitali zetu zinajulikana hazina magari yakutosha ya wagonjwa; tunaelewa kwamba Madaktari wa wilaya na Mikoa awaendi kwenye ajali wanasubiri waletewe majerui hospitalini, tunaelewa wazi kwamba usiku Madaktari wanakuwa wachache hospitalini na polisi wanakuwa wengi barabarani wakiwa na magari ya Doria. Nini kosa ya mganga mkuu wa wilaya na Mkoa?

Lakini pia kutokana na uchache wa wataalamu yawezekana hawa waliosimamishwa kazi ndio wataalamu wabobezi wanaotakiwa kuwahudumia hao wagonjwa na wagonjwa wengine kwenye maeneo Yao. Leo kuna watu wanakosa huduma zao hospitali Kwa Sababu wapo nybani wanasubiri uchunguzi kwanini walichelewa kwenda eneo la ajali.

Hebu tujiulize mkuu wa Wilaya alikuwa wapi wakati ajali inatokea? Tujiulize polisi walikuwa wapi? Mkuu wa mkoa na mganga mkuu wote wapo Tanga mjini, yeye alikuwa wapi hakuwahi kwenda kutoa huduma ya Kwanza? Kwanini kama yeye alishindwa kufika Kwa wakati anaamini Mganga mkuu angeweza kufika kwa wakati? Nani mwenye usafiri wa kuwahi eneo la tukio Kati ya mkuu wa mkoa na mganga mkuu?

Kama tunataka kuokoa maisha ya watu uchunguzi uendelee wakati hao wahusika wakiwa wanaendelea kutoa huduma. Tunaweza kutumia akili ndogo kwenye taaluma tukawapokonya uhai wagonjwa wengi.

Ilipotokea ajali ya ndege mwanza mafmdaktari mabingwa walikwenda kuokoa au walikaa kwenye vyumba vyao wakiwa na vifaa kutoa huduma?

Mkuu wa mkoa unataka kutuambia Mganga mkuu ana mobile hospital? Kwamba anaweza kwenda eneo la ajali na vifaa vya hospitali?

Nimetafakari Sana nikajiuliza wanaofanya kazi chini yake wapo salama? Ndio maana mkoa haupati maendeleo.
hahahahahaha
Kama nakuelewa Sana, afu ukimcheki vizuri unaweza Anza ckeka
 
Kabla ya kumkashifu Mkuu wa mkoa ni vyema ukapata Taarifa ya upande wa pili.
Je,Daktari wa zamu alikua kazini muda huo, nesi wa zamu je?
Kama hawakuwepo basi palikua na uzembe Fulani.

Huenda Daktari aliyetakiwa kuandika Rufaa hakuwepo ili wagonjwa wawahishwe Hospitali ya mkoa.
Huenda wagonjwa walichelewa kupata hata huduma ya kwanza kutokana na kuchelewa Kwa Madaktari.
MLeta mada aache kuwa anakurupuka. Amsikilize vizur rc.
Hoja si kufika eneo la tukio. Ni kutokuwepo hospitalin wala kufika kwa wakati. Tuache kutetea upuuzi kisa mtu ni mtaalam.
kuna vifo vinatokea kwa uzembe wao. Ndo mana kuna daktari bingwa wanabaka wagonjwa tunayachekea tu!
 
Back
Top Bottom