Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

Mkuu vipi hilo dege jipya linaloonekana hapo huna haja nalo?
 
Sifa namba 1 ya kuajiriwa katika hiyo nafasi yake ni kuwa na mume. Na isitoshe siyo tu mume ila mradi mume, sharti pia mfumo umfahamu vizuri kwa sababu ndiye pia mtu namba 1 analiyekaribu na mlinzi wa Amir Jeshi Mkuu wa JMT.
 
Ni muda sana…
 
mkuu nazani hujamuona vzr, siku ukikutana nae, utakuja kufuta huu uzi humu. Huyo ni mama yako kama sio bibi.
Jana nilimshuhudia Arusha binti ni mrembo hasa
 
Ameolewa
 
Daaah Nyboma banaaa 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…