Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-

1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.

Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.

Kuna mtu ambaye ni Sexless. Haya mambo ya ushoga hapa tuna kazi kweli!
1671468374110.png
 
Ngoja siku akifa ndio utajua watanzania wana hisia gani juu yake
Tulishangilia kwa yule dikteta mpk polisi wakaanza kuwakamata watu na sukuma gang wakaandaa walevi na wavuta bangi waigize wamezimia, lkn wakajisahau wakazimia huku wameshikilia mifuko ya plastiki
 
Dark days nenda kule au you tube (justice for Tanzania)
Asante kwa kunitonya. Nimeangalia mkuu.....maoni yangu kuhusu hiyi clip ni haya;-

Huyo anatumika Kama toilet paper na sukuma gang. Kwasabb justice anayoiongelea kwenye hiyo clip eti ni kufichuliwa kwa phone calls, sms na paper zilizotumika kupanga njama za kumuua jiwe.

Sasa zikifichuliwa ndiyo itakuwa nn?

Jiwe alistahili kufa na vema alivyokufa kwasabb alikuwa analipeleka taifa mahala pabaya. Mtu mmoja kufa ili kuokoa taifa hata Mungu anaturahua.

Huyu mhuni (nabii uchwara) katumwa na sukuma gang! Hakuna kitu kitatokea trust me!
 
Hebu fafanua vizuri hicho kifungu cha 2. Uelewa wangu, kifungu hicho kinamaanisha kuwa rais akishakaa madarakani kwa vipindi viwili (akishachaguliwa mara mbili) kama ilivyokuwa kwa Kikwete, basi anatakiwa awapishe wengine nao waendelee. After that anaweza tena kurudi na kugombea tena (mfano sasa hivi Kikwete anaweza rudi na kugombea)

In summary,kifungu cha pili kinazuia mtu kukaa madarakani zaidi ya mihula miwili continuously. Ila hakimzuii kurudi tena na kugombea.

Huo ndio uelewa wangu, naomba ufafanuzi wako
Upo sahihi kabisa
 
Umejenga hoja kirahisi sana. Eti sasa hivi katiba haifatwi, so hakuna haja ya kuendelea kuifata.

Ukiwa msomi, yafaa ujenge hoja kisomi. Ninachojua katiba inasema after vipindi viwili vya uongozi, rais anatakiwa akae pembeni,kupisha wengine kwanza then anaweza kurudi upya (am not so sure kama nipo sahihi)

Ila kitendo cha wewe kusema katiba isifatwe, inafanya bandiko lako lote liwe invalid
😂kaharibu
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-

1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.

Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
Naunga mkono hoja
 
Umejenga hoja kirahisi sana. Eti sasa hivi katiba haifatwi, so hakuna haja ya kuendelea kuifata.

Ukiwa msomi, yafaa ujenge hoja kisomi. Ninachojua katiba inasema after vipindi viwili vya uongozi, rais anatakiwa akae pembeni,kupisha wengine kwanza then anaweza kurudi upya (am not so sure kama nipo sahihi)

Ila kitendo cha wewe kusema katiba isifatwe, inafanya bandiko lako lote liwe invalid
We umejuwaje kama mleta uzi msomi!!??
 
Hebu fafanua vizuri hicho kifungu cha 2. Uelewa wangu, kifungu hicho kinamaanisha kuwa rais akishakaa madarakani kwa vipindi viwili (akishachaguliwa mara mbili) kama ilivyokuwa kwa Kikwete, basi anatakiwa awapishe wengine nao waendelee. After that anaweza tena kurudi na kugombea tena (mfano sasa hivi Kikwete anaweza rudi na kugombea)

In summary,kifungu cha pili kinazuia mtu kukaa madarakani zaidi ya mihula miwili continuously. Ila hakimzuii kurudi tena na kugombea.

Huo ndio uelewa wangu, naomba ufafanuzi wako
Achana na mikatiba isiyo na kichwa wala miguu twende na JK
 
Back
Top Bottom