Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

πŸ’©πŸ’©πŸ’© raha sana sikuhizi cDm wanakulana tgo wenyew kwa wenyew... Mradi wa wazungu umekubalika kwao... Wanapasuana wenyew kwa wenyew kisa uongozi
kwenye kugombea kitu lazima uwe tofauti na mwenzako
hiyo ni kawaida ya kugombea kitu halafu mko wengi, lazima umtungue mwenzako kadiri unavyoweza ili uonyeshe tofauti yako na yeye ni ipi
so ni kawaida
 
Mungu anatupenda mno, hawezi kutupa zawadi ya mtu ambaye nati zimelegea mahali fulani awe kiongozi wetu; Hata kidogo. Mungu atupe zawadi ya mtu ambaye utengamano wa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi? Mungu ninayemwamini mimi hawezi kufanya hivyo hata siku moja.
 
Yaan lisu kuwa chadema ndo mwanza wa kifo wa hiki chama, mimi sio mtabiri ila muda utaongea, lisu ni mwanaharaka na wala sio kiongozi
 
Yaan lisu kuwa chadema ndo mwanza wa kifo wa hiki chama, mimi sio mtabiri ila muda utaongea, lisu ni mwanaharaka na wala sio kiongozi
kiongozi ni mtu wa aina gani
na mwanaharakati ni mtu wa aina gani
tupe tofauti hapo
 
kiongozi ni mtu wa aina gani
na mwanaharakati ni mtu wa aina gani
tupe tofauti hapo
Hawezi jibu Hilo swali ,amewasikia haters Wanasema naye kakariri! Kwenye Siasa za Kiliberari huwezi kutengamisha Siasa na Harakati! Chama cha Upinzani ni lazima.kifanye Harakati !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…