eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #41
kwenye kugombea kitu lazima uwe tofauti na mwenzako💩💩💩 raha sana sikuhizi cDm wanakulana tgo wenyew kwa wenyew... Mradi wa wazungu umekubalika kwao... Wanapasuana wenyew kwa wenyew kisa uongozi
hiyo ni kawaida ya kugombea kitu halafu mko wengi, lazima umtungue mwenzako kadiri unavyoweza ili uonyeshe tofauti yako na yeye ni ipi
so ni kawaida