Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

Huyu ni bingwa wa kuropoka.
Uduni wa elimu na umaskini umewafanya vijana wa kitanzania hamjui kilichobora Kwa taifa, mnaona ni heri kujikomba (uchawa) Kwa wale wale waliopelekea ufukara wenu ili mrushiwe angalau mifupa. Pathetic
 
Huyu akipewa nchi kwa ile misimamo alafu akaanza utekaji sijui Nani atamshauri aache,
Tunaweza stuka tumebaki sabini nchi nzima hahahaha!
 
Lissu umefanikiwa kusafisha chama na kurudisha Imani ya wanacdm na watz Kwa ujumla.

Yule kiongozi mwoga wa cccc KAZI anayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…