Uduni wa elimu na umaskini umewafanya vijana wa kitanzania hamjui kilichobora Kwa taifa, mnaona ni heri kujikomba (uchawa) Kwa wale wale waliopelekea ufukara wenu ili mrushiwe angalau mifupa. PatheticHuyu ni bingwa wa kuropoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uduni wa elimu na umaskini umewafanya vijana wa kitanzania hamjui kilichobora Kwa taifa, mnaona ni heri kujikomba (uchawa) Kwa wale wale waliopelekea ufukara wenu ili mrushiwe angalau mifupa. PatheticHuyu ni bingwa wa kuropoka.
Kwani baba yake unamjua? Au ni majirani mnakoishi?Km babako
Tujiandikishe CHADEA ndiye mkombozi wetu kutoka mkoloni CCM.
Sawa tu, mbona huko kuna kbaraka wa Waarabu.Kibaraka wa wazungu jichanganyeni
Kibaraka wa Waarabu nae ni nani?Kibaraka wa wazungu