Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umemzidi uoga na kuandika uifurahishe nafsi yako.Wewe ni joga!Huyu ana chochote alichofanya zaidi ya ka-mdomo
Kama kujieleza nafsi yake ni shida,chama atakibebea wapi?Chama apewe lijua kali
kivipi?LS anachemka sana kisiasa
Amekubarakia ni kiswahili kutoka wapiAmekubarakia kitu gani?
kwa hakika kabisa,Tukikipoteza hiki kichwa sijui itatuchukua miongo mingapi kuzaliwa kichwa kama hiki
dalali wa ukoloni mambo leo nchini Tanzania 🐒
Hana famili
Hana familia.
na wewe ni kibaraka wa naniKibaraka wa wazungu jichanganyeni
Mstaarabu, muungwana na mpenda haki yeyote dunia anapenda uropokaji zaidi ya huu. Mwizi, muuaji, tapeli na mbinyaji wa haki anapenda kusifu na kuabudu hata yasiyostahili.Huyu ni bingwa wa kuropoka.
Hafai.Huyu ana chochote alichofanya zaidi ya ka-mdomo
Wewe unadhani maneno unayotumia leo hii yalidondoka kama mana jangwani?Alikubarakia nini na kwa nani?Ulilia au ulitoa mlio gani alivyokubarakia?Amekubarakia ni kiswahili kutoka wapi
Hebu weka vizur nikuelewe
watu kama hawa ni wa kuwaombea kila siku Mungu awaepushe na hila za maadui wakeWatu wanaopenda kusema ukweli hua hawapendwi hata kidogo na waovu, kuna wapumbavu wakiona sura yake tuu hasira zinawapanda
Kabisa Alidai eti "Oooh tutashtakiwa MIGA", kubabae Miga ya Konyo?Nakubali ila alileta usaliti kwenye makinikia
Na yule wa kwenu ni bingwa wa kulamba asali hadi anasahau malengo ya chama.Huyu ni bingwa wa kuropoka.
Wa nafsi na roho yanguna wewe ni kibaraka wa nani
Wewe unadhani maneno unayotumia leo hii yalidondoka kama mana jangwani?Alikubarakia nini na kwa nani?Ulilia au ulitoa mlio gani alivyokubarakia?