Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Kwani air hostess wa ndege Wana kazi gani zaidi ya kudemostrate jinsi ya kujiokoa
Kudemostrate? Wale mkuu wakati wa msukosuko husaidia sana au unahisi Yale maelezo utayakumbuka ukitangaziwa ukae mkao wa crash landing?
 
Mimi nashangaa watu kusema Tanzania kuna wasichana wazuri, Pisi kali..!!!!!

Ni kwamba watu hawajatembea hii dunia, siku ukijaribu kufika nchi kama Ethiopia, Eritrea, ukaona mabinti kwa Kihabesh utagundua kwamba kuna nchi zina pisi kali kutuzidi.
 
Picha ndio nzuri kuliko yeye ukikutana nae live ni wakawaida sana sema upepo tu
 
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba

Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa sasa yupo kwenye mabasi ya BM, hii ni baada ya BM kumpa ofa nono zaidi kuliko alikotoka.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

View attachment 2695556

View attachment 2695550

View attachment 2695551

View attachment 2695553
Kameacha ubamed kumbe

Ila huyu demu sio mkali oya kuna watoto wakali bwana kila kitu kinakuwa kimebalance lol
 
Uzuri huo vipi? Hapa nikijitafuta najipata na hanifikii hata 🙌🏾 Hatusemi ni mbaya maana wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu ila hata hana uzuri wa kutisha hadi kuanzisha uzi. Usituchoshe 😏
 
Picha kwangu hazifunguki ila kama ni huyo ninayemfikiria kwenye uzuri Bado Bali ni mweupe,
 
Shape ya kichagha ukitaka ukachukie ngoja ukaone kakitembea na hivyo ni kafupi basi huwezi jizuia kucheka.

Kingine hivyo vibinti vinavyonyoa pank za hivyo vinanukaga midomo.
 
Huwa wadada wanakuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha na kujirekodi video wakiwa kazini kwao kwenye ma bus.

Nchi yetu ina wajinga wengi sana. Hata akitokea bank teller anajipiga piga picha akiwa kazini kwake. Ghafla anakuwa maarufu.

Sio yeye tu. Kuna wadada wengi wamekuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha wakiwa kazini kwao. Mfano Teacher Joy mwalimu wa watoto. Hadi azam tv wakampa kazi sababu ya mbinu yake ya kujipiga piga picha akiwa kazini kwake shuleni anafundisha watoto
Inabidi na sisi.Tuanze kupiga picha Tukifanya operation thiertre

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom