Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Kwanza hamna kitu hapo, hako katoto hakana uzuri wowote ni just a style ya upigwaji picha na location camera ilipokaa ili mumpate vizuri.

Akakae tu pale kwenye benchi la kidia nje alafu apigwe picha umuone kwenye uharisia 😄.

Kwa old school wenzangu mliopanda Scandinavia Express miaka ya 1998+ kwenye Viagio la Dar -Arusha au Nairobi kuna mrembo alikuwepo namkumbuka alikuwa anaitwa Pendo, kwa anayemkumbuka nadhani anaweza kupinga hapa.

Hivi vitoto siku hizi mnaokota tu huko na kupakiza kwenye mabasi kisa luxury wala siyo smart and cute bana 😅!.
 
Kama umewahi kupanda ndege bila shaka umewaona wahudumu wa mle ndani huitwa air hostess basi na mabasi nao sikuhizi wameweka bus hostess.

Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na urembo wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa sasa yupo kwenye mabasi ya BM, hii ni baada ya BM kumpa ofa nono zaidi kuliko alikotoka.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

View attachment 2695556

View attachment 2695550

View attachment 2695551

View attachment 2695553
Nimekuja spidi kuicheki hyo Pisi kumbe ni full editing 😡
 
Huyu demu ana SURA NZURI Ila kumuita mrembo Hadi kumfungulia Uzi ni dharau Kwa warembo
 
Kama huoni urembo hapo jijue una tatizo

Yani wewe jamaa tangu uposti kwamba ukoo wenu mzima wewe ndio umeajiriwa serikalini basi unajikuta mjuaji [emoji1787] [emoji1787]

Alafu huwa unaposti sana kutowapa wanawake hela, inaelekea ulipigwa na kitu kizito [emoji1787]

Ungepinga hoja yake bila kumuattack mtu....
Ma great thinker wanadiscuss hoja sio mtu
 
Hiyo kaz ya kuweka wadada kwenye gar sielewag maana yake due to the fact that hawana kaz zaid ya kutangaza vituo
Hata mizugo hawapakii kwenye gar
Kwani air hostess wa ndege Wana kazi gani zaidi ya kudemostrate jinsi ya kujiokoa
 
Noma sana ,kila mwaka anazuka mtu ana trend ,alianza Kanyaboya ,Kibokomsheli ,maumba ,sancho ,vandame , tazan ,piere liquid ,zuwena ,mandonga na sasa binti wa Tihilisho BM.
 
Mrembo
 
Attachments

  • Screenshot_20230721-220031.png
    Screenshot_20230721-220031.png
    132.3 KB · Views: 13
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom