TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwanza hamna kitu hapo, hako katoto hakana uzuri wowote ni just a style ya upigwaji picha na location camera ilipokaa ili mumpate vizuri.
Akakae tu pale kwenye benchi la kidia nje alafu apigwe picha umuone kwenye uharisia 😄.
Kwa old school wenzangu mliopanda Scandinavia Express miaka ya 1998+ kwenye Viagio la Dar -Arusha au Nairobi kuna mrembo alikuwepo namkumbuka alikuwa anaitwa Pendo, kwa anayemkumbuka nadhani anaweza kupinga hapa.
Hivi vitoto siku hizi mnaokota tu huko na kupakiza kwenye mabasi kisa luxury wala siyo smart and cute bana 😅!.