Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Kwani air hostess wa ndege Wana kazi gani zaidi ya kudemostrate jinsi ya kujiokoa
Kudemostrate? Wale mkuu wakati wa msukosuko husaidia sana au unahisi Yale maelezo utayakumbuka ukitangaziwa ukae mkao wa crash landing?
 
Mimi nashangaa watu kusema Tanzania kuna wasichana wazuri, Pisi kali..!!!!!

Ni kwamba watu hawajatembea hii dunia, siku ukijaribu kufika nchi kama Ethiopia, Eritrea, ukaona mabinti kwa Kihabesh utagundua kwamba kuna nchi zina pisi kali kutuzidi.
 
Picha ndio nzuri kuliko yeye ukikutana nae live ni wakawaida sana sema upepo tu
 
Kameacha ubamed kumbe

Ila huyu demu sio mkali oya kuna watoto wakali bwana kila kitu kinakuwa kimebalance lol
 
Uzuri huo vipi? Hapa nikijitafuta najipata na hanifikii hata 🙌🏾 Hatusemi ni mbaya maana wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu ila hata hana uzuri wa kutisha hadi kuanzisha uzi. Usituchoshe 😏
 
Picha kwangu hazifunguki ila kama ni huyo ninayemfikiria kwenye uzuri Bado Bali ni mweupe,
 
Shape ya kichagha ukitaka ukachukie ngoja ukaone kakitembea na hivyo ni kafupi basi huwezi jizuia kucheka.

Kingine hivyo vibinti vinavyonyoa pank za hivyo vinanukaga midomo.
 
Inabidi na sisi.Tuanze kupiga picha Tukifanya operation thiertre

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…