Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Umekuwa mtu mjinga sana, and thw only justification ili nikuelewe ni kwamba umepata financial gain.
Baada ya kukujibu posta yako hii kwa mawazo yango hapo juu kidogo, napenda ufahamu nilichomjibu dhahabu nyeusi baada ya kumsikiliza:

I am a Tanzanian, this is more than a lesson to me, I had exposure by living outside Africa for so many years. When I came back to Tanzania a few years back, I am always silently thinking, why we in Africa are so ignorant! Listening to you now I've realised I am not the only one who thinks so. And I've just learned never ever again to think silently about it. The only way to get rid of this ignorance is to acknowledge that we are truly ignorants and are arrogant to not admit it. From now on I will talk about our ignorance whenever I can in the hope that I may be able to unchain myself and another one on this miserable chain. Anyone who wants to know about Tanzania and tons of opportunities readily available here, please get in touch.
 
Huyu kaathiriwa na dini,

Haelewagi kitu kingine
Usome huu uzi mwanzo mpaka mwisho halafu nioneshe sentensi mola, au neno moja tu, lililokufanya wewe useme hivyo.

Ukishindwa utaelewa ni nani mwsathirika wahicho unacdhani wewe.
 
Hivi kwanini sa100 anauza nchi na kukutumia wewe kupiga promo?
Weka ushahidi wa nchi kuuzwa.

Sipigi "promo" kwa yeyote, nipo hapa kufundisha japo kidogo nilichojifunza katika umri wangu. Ukipenda unakipokea na kukitumia, hukupenda basi siyo mahaaliwa yako kujifunza.
 
Inasikitisha sana,,lakini tumchukulie tu kama tunavyowachukulia wazee wengine mitaani kwetu..hatuna namna😌
Huyu hana stadi ya maisha, hawezi kufeel hata kidogo mitazamo ya wenzake.

Watu kama hawa ni hatari zaidi kwa taifa lake.

Au kisa yeye ni mzee hajali hata nchi ikiingia mikataba ya ovyo yeye huko miaka ya mbele kidogo hatakuwepo, kwahyo haumii sisi vijana na watoto wetu watakaobaki watapata taabu gani?

Huyu mzee anapaswa kuwa na busara bhana, sie tuna safari bado
 
Usome huu uzi mwanzo mpaka mwisho halafu nioneshe sentensi mola, au neno moja tu, lililokufanya wewe useme hivyo.

Ukishindwa utaelewa ni nani mwsathirika wahicho unacdhani wewe.
Hilo nililobold hapo unaliona?
 
Weka ushahidi wa nchi kuuzwa.

Sipigi "promo" kwa yeyote, nipo hapa kufundisha japo kidogo nilichojifunza katika umri wangu. Ukipenda unakipokea na kukitumia, hukupenda basi siyo mahaaliwa yako kujifunza.
Wewe unapiga promo uuzwaji wa rasilimali za nchi kupitia ubinafisishaji wa bandari zote za Tanganyika kwa waarabu wa Oman ili watanzania wapate chamtema Kuni (tabu)
 
maulidi kitenge ?
faiza foxy
the boss

account zenu zimeshiba pesa ya kuongwa.
Nasikia DP world inatumia watu wenye ushawishi na wasanii kuwanyamazisha mpaka wahandishi wa habari.

hipo siku wewe bibi mweshimiwa wa ikulu
 
maulidi kitenge ?
faiza foxy
the boss

account zenu zimeshiba pesa ya kuongwa.
Nasikia DP world inatumia watu wenye ushawishi na wasanii kuwanyamazisha mpaka wahandishi wa habari.

hipo siku wewe bibi mweshimiwa wa ikulu
Audhu bi Lllahi minna shatwaqni rajyim.

Wewe kweli ni zaidi ya shetani, Sana tena. Wewe umeijuwaje siri hiyo? Inabidi uajiriwe DP World, muone Kitenge ana connections tayari za wanaoajiri huko.
 
Bibi Faiza ndio umeandika nn??????
 
Ushaanza kiarabu afu unajiita mwafrika bibi???
Kiarabu ndiyo lugha ya kwanza ya kimataifa duniani, usikiogope, unatakiwa ukijuwe. Babu zako kina Mangungo walikuwa wanakijuuwa.

Tena wale mabosi DP World ukiwapiga na kiarabu cha kuombea tende basi lazima upate tenda.
 
Mwafrika mpe pesa. Bado tuna changamoto sana za kifikira kwenye zama za mapinduzi ya teknohama bado tupo kwenye fikira za miti ya mizimu na tafsiri za ndoto, kitu ambacho huwezi kuta kwa wazungu,wachina na waarabu njoo kwa mtanzania wa leo bado kafungwa na mizimu ya kwao.Unategemea huyo mtu atakuwa na ujasiri wa kukaa meza moja na mzungu?mchina? muarabu?. Ni ngumu kukaa meza moja na DP World hatuna tunaloweza kuwasilisha kwenye meza.

Dhahabu nyeusi tunashukuru kwa maono uliyonayo.
 
Kiarabu ndiyo lugha ya kwanza ya kimataifa duniani, usikiogope unatakiwa ukijuwe.

Tena wale mabosi DP World ukiwapiga na kiarabu cha kuombea tende basi lazima upate tenda.
Lugha ya kwanza kimataifa....Nimekaa Ramalah na Amman nilikua nazungumza kingereza na naeleweka..na wenyeji wanahangaikia kingereza🤣🤣🤣😂😂😂😂 Kumbe lugha yao ndio international language
 
Kwa insha hii ni wazi kuwa wewe ni jobless takataka kabisa usiye na kazi hata ya kupumuliwa kisogoni, unanzaje kuandika uharo mrefu kiasi hiki na Nani asome huu upuuzi, maandishi marefu kama nyoka kumbe matapishi matupu. Tafuta kazi hata ya kufundisha waarabu wenzako maana ni wajinga kule pwani tunajua wanachofanywa na Beach Boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…