Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Sasa weweulikuwa unajibu post hata huekewi mwanzo wake? Ndiyo ylinywe tu.
Kweli ujinga unakusumbua mzee wangu kwaiyo kama umelisha watu matango pori tusizungumze kisa hatukuwepo from the startin!!?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na anaufafanuwa vizuri sana. tafadhali msikilize mwenyewe upanuwe mawazo. Hili ni zaidi ya somo. [emoji1484]



Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa google ya anachokisema[emoji1484]

(what's up family this is your man not your boy gold black to AfricaI did a video that did not actually go through
being that uh the reception is off but I'm back and I would like to really share with)


Nini habari familia, ni mtu wako si kijana wako, salaam kutoka kwa Dhahabu Nyeusi kwa Afrika.

Nilifanya video ambayo kwa kweli haikupanda kwenye mtandao, mtandao haukuwa vizuri ukazimwa lakini nimerudi tena na ningependa kushiriki na Ninyi nyote, mnisamehe, nafahammu wengi wenu huenda msipende jina la ujumbe wangu "Nakabiliana na Ujinga uliojazwa na ukoloni kwenye akili za (ki) Afrika". tunaposikia maneno kama" ujinga" tuelewe kuwa neno ujina siyo tusi bali ni neno ambalo watu wengi linaweza kuwatatiza na kuwashughulisha lakini tuchukulie kuwa ujinga sio kosa, ni sifa kwa sababu tunajuwa kuwa ujinga unamaanisha mtu ambaye hana ujuzi au ni mtu ambae hana ufahamu wa kitu fulani, na na pia ni kile kilicho juu ya uwezo wa mtu.

Wengi wa ndugu zangu wa Afrika hatuelewi kuwa ni ujinga kujifanya tunajuwa namna ya wenzetu wa kutoka nje na wageni wetu kutoka nje kuwa wanawaza na kufikiri kama sisi.

Kina kaka na akina dada ninaowaona hapa Afrika wana shida sana linapokuja suala la kukabiliana kibiashara na watu wa nje. Kutokuelewa mawazo ya kigeni ndio utaona Mwafrika anateseka anapokaa mezani na wale ambao anafanya nao biashana, hata haelewi mawazo ya biashara za kibepari na njia za kufanya nao biashara. jambo ambalo hupelekea kupoteza faida, kimsingi biashara ni faida.

Lakini hiyo sio haswa kile ninachozungumzia linapokuja suala la ujinga wa Afrika. Najuwa wewe unaona nalisema hili kiwepesi sana. Siyasemi haya kwa nia ya kumkosea mtu yeyote. Ni wazi, wakati mimi naanza kuangalia mienendo ya hapa hivi karibuni nikaona muono wa kikoloni.

Inaendelea post # 53
Shikamoo Bibi
 
Baada ya kukujibu posta yako hii kwa mawazo yango hapo juu kidogo, napenda ufahamu nilichomjibu dhahabu nyeusi baada ya kumsikiliza:

I am a Tanzanian, this is more than a lesson to me, I had exposure by living outside Africa for so many years. When I came back to Tanzania a few years back, I am always silently thinking, why we in Africa are so ignorant! Listening to you now I've realised I am not the only one who thinks so. And I've just learned never ever again to think silently about it. The only way to get rid of this ignorance is to acknowledge that we are truly ignorants and are arrogant to not admit it. From now on I will talk about our ignorance whenever I can in the hope that I may be able to unchain myself and another one on this miserable chain. Anyone who wants to know about Tanzania and tons of opportunities readily available here, please get in touch.


Wala siwezi poteza mda soma post za mtu hovyo kama wewe!
 

Attachments

  • 69480.jpg
    69480.jpg
    14.9 KB · Views: 6
Huyu hana stadi ya maisha, hawezi kufeel hata kidogo mitazamo ya wenzake.

Watu kama hawa ni hatari zaidi kwa taifa lake.

Au kisa yeye ni mzee hajali hata nchi ikiingia mikataba ya ovyo yeye huko miaka ya mbele kidogo hatakuwepo, kwahyo haumii sisi vijana na watoto wetu watakaobaki watapata taabu gani?

Huyu mzee anapaswa kuwa na busara bhana, sie tuna safari bado
kuna namna hayuko sawa,,,
 
Unaadika ujinga inakuaje mtu mzima Tena Bibi Kabisa unaishi Maisha ya kujikomba komba kwa wanasiasa . Wewe kwa umri wako 60s unabidi kuutumia kufanya ibada na sio kugeuka Chawa.
Tatizo lako huelewi kuwa kumpa mtu elimu ni sadaka endelevu. Nnaaminihapa utajifunza japo moja. AlhamduliLlah, kwangu hiyo ni ibada kubwa sana. Endelea kunisoma usininyime thawabu za sadakatul jariah.
 
Mpuuzi wewe! Mamayo asingekuzaa ungekuwa mavi tuu!
Endelea kuelimika kijana, ni vyema sana kuwa "mpuuzi" kuliko kuwa mjinga.

Chota madini ya Dhahabu Nyeusi post #1.
 
walimu wa history waliotufundisha miaka ya nyuma kama ndo umejibu swali kwa maelezo yote hayo anakata tu shwaaaaaa na kukuandikia 2/20
Ukikumbana na Mwalimu mimi naendelea kukupa darsa tu, nafaham ni ujinga tu, Kama asemavyo Black Gold juu hapo.

Umeona kuna swali limejibiwa hapo kwenye post #1? Kama hivyo basi ni vyema sana itakuwa nimeuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Ujinga wa Waafrika unaanzia kwa Viongozi wao

Ujinga wako ni kusupport jambo lolote hata la kijinga kwa minajili ya kidini
 
Ujinga wa Waafrika unaanzia kwa Viongozi wao

Ujinga wako ni kusupport jambo lolote hata la kijinga kwa minajili ya kidini
Una haki ya kufikiri upendavyo lakini huna haki ya dhana. Fanya tafiti japo kidogo. Siungi mkono chochote wala sipingi chochote nisichokijuwa au nisichokifanyia utafiti.


Hilo la biashara za Kimataifa nnalijuwa vilivyo, huelewi tu kuwa mimi ni Mshauri wa biashara (business Consultant) niliyesajiliwa Tanzania pia. Kwa faida yako tu, itafute Business Consultants Ltd.

Pakuitafuta ni Brela, TRA na Chamber of Commerce, ujiridhishe kuwa nnafaham nnachokielimisha humu JF.

Huwa sikisii. Chota madini.
 
Samia ondoka hapo ikulu ili aingie mtu mwenye UMAHIRI.

Wewe utapangiwa kazi nyingine ya kupanga mafaili kwenye kabati.
Unafaham kuwa DP World wameshaanza kazi za kuweka "mafaili" sawa bandari ya Dar?
 
Back
Top Bottom