Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Hayo yoote anayoyazungumzia kuhusu Africa, angekaa/mngekaa chini kwanza kutafuta mzizi wa Tatizo na sio kulaumu ambao hawajui chochote.
 
Africa imeathirika na kuathiliwa na ukoloni mpala leo, ukoloni wa Muarabu na Mzungu umeacha makovu na athari kubwa Africa kiasi cha Mwafrica mpaka leo kuskip basic concepts za development na civilization.

Mzungu alileta dini Africa na muarabu akaleta dini Africa, WaAfrica wamechukua dini wakachukua uzungu na uarabu pia wakasahau Uafrica wao na kupendana wenyewe.

Ukoloni, Dini na mengineyo vimebaki silaha ya mzungu na muarabu kuendelea kuitawala Africa na kuwaacha WaAfrica hivi walivyo.

Hiyo Ignorance ya mwafrica ni moja ya Kovu ambalo mwafrica ameachiwa na chanzo chake ni divide and rule iliyoletwa na muarabu na Mzungu, huo mnyororo umeshikiliwa mpaka leo ili Mwafrica abaki hivyo kuukata hakuwezi kuja kwa kuongea bali kwa mipango ya muda mrefu na utawala wa chuma utakaowaambia waAfrica njia ya kupita kufikia malengo.
 
Hayo yoote anayoyazungumzia kuhusu Africa, angekaa/mngekaa chini kwanza kutafuta mzizi wa Tatizo na sio kulaumu ambao hawajui chochote.
Anaelezea kwa kina mzizi, chanzo na pia anatoa ushauri wa kina wa njia za kuondokana na huu ujinga.

Ana video nyingi sana za kuelimisha, kila nchi ya Afrika anapita na kutowa elimu.
 
Huo ndiyo ujinga wetu mkubwa sana, tmeamini elimu ya wazungu kuliko sisi wenyewe kufanya tafiti.

Geography, history na mpa sayansi inaonesha Waarabu siyo wakuja Afrika.

Mfano, soma kisa cha Malkia Bilqis, huyu alitawala kwenye shina la tunalosema Waarabu, huko Yemen mpaka ambayo tunayoiita sasa Ethiopia, na mpaka huko panapoitwa Misr, na mtu kama Sulaiman, akiwa safarini akapata habari za huyu Malkia nawanahitori wengine wansema alimuoa, (sas jiulize Suleiman alitokea waoi akafika kwa malkia wa Sheba huko Yemen akamuoa. Sasa mpaka wa Afrika na Yemen na wa utawala wa Sheba ulikuwa wapi?

Wazungu ndiyo waliipiga mipaka wakiwa Berlin mwaka elfu moja na mia nane na... Kabla ya hapo mipaka ilikuwa wapi?

Waarabu hawakuja Afrika, bali mimi naamini walitokea Afrika wakatawanyika kwenda Asia na sehemu zingine.
 

Watu kama wewe mmelezewa vizuri sana na post namba 1. Kinachowasumbuwa ni:

 
Ujinga WA mwafrika ni kama kuhonga bandari Zetu milele na milele Kwa mwarabu WA DP world kisa katoa mlungula
 
Ujinga WA mwafrika ni kama kuhonga bandari Zetu milele na milele Kwa mwarabu WA DP world kisa katoa mlungula

Ujinga ni huo wa kujifanya unajuwa kumbe huna unachokijuwa.

Umeshawahi kuiona bandari?
 
Vip lakin ameuchambua mkataba au nae ni wale wale
 
kasome kifungu cha 23 kuna muda wa mkataba halafu rudi useme hujauzwa pia kifungu cha 27 kinazuia matumizi ya taratibu halali za kimataifa ktk mradi huu , wekeni udini ukifika muda tutalia wote
 
Huu wa kutoa bandari bure
Usitudanganye na wala usijidanganye.

Bandari inaboreshwa na kusimamishwa wima bure, cheza na wajomba zetu wewe. Hatuna wajomba mambumbu wasiooelewa maana ya kusimamisha kama waleeeee.
 
Usitudanganye na wala usijidanganye.

Bandari inaboreshwa na kusimamishwa wima bure, cheza na wajomba zetu wewe. Hatuna wajomba mambumbu wasiooelewa maana ya kusimamisha kama waleeeee.
Kwahiyo hii nchi ina mambumbu. Daaah
 
Wewe ni Wakala wa DP world?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…