reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Www...mapenzi upofuuuWanawake wote wazuri Dar es salaam hajawaona akaangukia kwa huyu? Huyu dada ana nini mbona sura ya kawaida tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Www...mapenzi upofuuuWanawake wote wazuri Dar es salaam hajawaona akaangukia kwa huyu? Huyu dada ana nini mbona sura ya kawaida tu?
Savage[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti sura ya babu yake mzaa baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf[emoji706]
Kwa kuwasàgia kunguni hao manabii wa Mungu, wewe ni wa motoni bila hata kuuliza
OkBestie bwanaa...[emoji1787][emoji1][emoji1]
Hizi dini naona zina Siri sanaWewe ndiyo utaenda motoni kwa kuwaabudu binadamu ,yaani wahuni hao unawaita manabii wa Mungu??
Kweli kabisaWww...mapenzi upofuuu
Connection za mishe/dili tu Mzee baba, hapa mjini pana mengi.Nimebahatika kuona hiko kipindi juzi, kama sikosei, ingawa ilikuwa mwishoni. Mmh, kale kadada acha kabisa; ile nyumba yake ina choo cha milioni 25 na tiles za kisasa kabisa.....the latest. Kama unavyosema, anazo tatu. Yupo kwenye late 20s na ule mtaa wao, wa Goba, anasema wapo vijana tu wanaoangusha majumba maeneo hayo!
Jamani, hz hela wenzetu wanazipataje na umri mdogo kama ule?!!!!!!!!! Mbona wengine tupo 40+ ndiyo kwana una tofali 23 kiwanjani kwako?!!!!
Teh teh teh 😂😂 hili tukio huwa unalirudia rudia sana, why lakini ?......kwani hutaki shemeji ?....😂😂😂Nilianza kumdharau Toka amle Shoga angu mmoja hivi since then naona wanaoenda kwake vichaa tu
Ana manyonyo makubwaaHuyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
Kumbee😋😋😋, dah! Ila inastusha, maana mzee mzima zaidi ya kuongezeka mvi na ugumu wa mvi hizo, sina kitu kingine!Connection za mishe/dili tu Mzee baba, hapa mjini pana mengi.
Huyu mdada hata akikaa uchi mbele yangu, sifanyi naye ngono, ntamkimbia ShunieHuyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
deal doneKate milaya aliyezaa na mwamposa eenh
Katikati y manyonyo Kuna Rangi nyeusi.Ni Nini?Zoom hiyo utakutana na kipini View attachment 2659646
Hawa wanaenda kula mavi Dubai wanaita pota potty.Mlo mmoja milioni 150 za TZ.Siri hapo ipo kwa sponsor. Abishe tumchimbe.
Biashara nzuri isiyo na kodiHizo ni sadaka na mauzo ya maji, mafuta na vitambaa vya UPAKO