Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Amini nawaambieni. Mbususu ikiwekwa tangawizi na ndimu na Kupewa watu kama sisi tunaweka hela ndefu tu.Hata udangaji unalipa sema tu wadangaji wengi kichwani ni empty
Cc Bill Lugano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini nawaambieni. Mbususu ikiwekwa tangawizi na ndimu na Kupewa watu kama sisi tunaweka hela ndefu tu.Hata udangaji unalipa sema tu wadangaji wengi kichwani ni empty
Acha ujinga wewee kudunduliza? Usikute mwamposa kapewa Linda hapo katoa sadaka za mwezi mzima na udenda juuWengi huwa tunaangalia matokeo tu; hatuangalii ule mchakato ulioleta hayo matokeo.
Pesa inaweza kwenda kwa mtu yeyote yule, ni sawa na mtoto wa miaka 5 aokote begi la hela la bilioni 10; matokeo yake tutakuwa tunasifu mtoto mdogo ana hela nyingi n.k
Mleta mada, unatakiwa utueleze, alivyoanza kudunduliza mpaka akapata hizo hela na hatimaye kufanya hivyo vitu; hapo mada ingekuwa imekamilika vizuri.
Apostooo umevamia mtumbwi wa kibwengo hahahahaha
Eeenh sasa kishamuharibia Apostle
Kumbe na starehe nyingi anazo Sana tu?
Uko sahihì, niliona tangazo nikasema huyu binti anafanya kazi gani? Ila binti naona kavimbiwa kaamua aje front kutuonyesha yeye nae yupo. Na anataka kujulikana yupo the boss lady in town. Ameshindwa kabisa kuishi kimya kimya aendelee kula sadaka zetu za kujimaliza kimya kimya mpk tumjue yeye nani? Haya sasa tumeshamjua badala watu wajadili jumba lake na yeye watu tuatafuta source of income yake na inatuuma sisi watoa sadaka ujue.Video Vixen aliyetumia fursa vizuri , hawa maslay queen wanakuwa waongo sana ,hivi kwa akili ya kawaida binti kama huyo below 30s amiliki mijengo ya maana mitatu kwa nguvu zake? Naye Basilisa EATV anaingia kichwa kichwa kumpa airtime na kupotosha umma.
Binti anawezeshwa na Aposto halafu wanakuja kuwapa pressure mabinti wanaohustle kwa nguvu zao kitaani.
Ndiyo maana mimi hawa wanaojiita manabii sijui mitume huwa siwaamini 100% ,wengi ni matapeli na wapigaji ,hivi mtu kama Gwajima ,Mwamposa,Mzee wa upako,mwingira unaenda kabisa kumpa sadaka zako?
-Gwajima Mkono wa baunsa akimla Kondoo
-Mwamposa aliacha mke ,anazaa na wadangaji -video vixen
-Mzee wa Upako - Mlevi wa Konyagi ,anatukana hovyo hovyo
-Mwingira amezaa na mke wa mtu.
Channel nyingi zinawekaHivi uwa wanaweka vipindi vyao YouTube?
Channel nyingi zinawekaHivi uwa wanaweka vipindi vyao YouTube?
Najuta kuuleta huu Uzi humu, ningejua haya nisingeuleta.Uko sahihì, niliona tangazo nikasema huyu binti anafanya kazi gani? Ila binti naona kavimbiwa kaamua aje front kutuonyesha yeye nae yupo. Na anataka kujulikana yupo the boss lady in town. Ameshindwa kabisa kuishi kimya kimya aendelee kula sadaka zetu za kujimaliza kimya kimya mpk tumjue yeye nani? Haya sasa tumeshamjua badala watu wajadili jumba lake na yeye watu tuatafuta source of income yake na inatuuma sisi watoa sadaka ujue.
Usingeleta wewe angeleta mwingine huo uzi.Hata miye nilimuona kwenye tangazo ila sikuona kipindi chake. Nilijua ni CEO wa likampuni fulani likubwa kumbe anajilia sadaka zetu za kujimalizaNajuta kuuleta huu Uzi humu, ningejua haya nisingeuleta.
Mmhjhj poleNilijuaga hivyo[emoji23]
Nilianza kumdharau Toka amle Shoga angu mmoja hivi since then naona wanaoenda kwake vichaa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakuwa anammaliza kwelikweli,
Apostoooooo[emoji3]
Nimemuangalia hapa kwenye ibada ya pili,nimeishia kusema hiiiiiii,
Mitaji yao si unaijua?Sidhani, Anaonekana Kama yupo mwenyewe tu yule.
Mmhhh...kazi hata sio ya kuvutia sana kiviileee..Hapa viserengeti boy vimbwa vya kufugwa ndio vinaweza ona fursa.Sie wahangaikaji bado hatujashtukaHuyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
Kwakweli,itakuwa anawala sana,Nilianza kumdharau Toka amle Shoga angu mmoja hivi since then naona wanaoenda kwake vichaa tu
Kwakweli hasa kwa sie tuliovuka 25+ unajiona umechelewa kweli,usipo kuwa makini unajiingiza kwenye mkumboWadogo zetu wakike wakitizama wanakuwa wanyonge kumbe hawajui mafanikio yake ni nguvu ya K na maslay queen huku kwenye radio ukiwasikiliza,unaweza ukasema J Lo huyu hapa,mara aseme kavaa mil 2,mara analipa kodi kwa mwaka mil 50+,blaaaha blaah.
Ndio maana dunia ya leo jifundishe sana kusali na kusoma kitabu cha Mungu wewe mwenyewe, husiwe mtumwa wa kiongozi yoyote yule wa dini.