blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Wewee...Huyo alitafutia wapi? 😀😀 ukilijibu ili swali, kesho naenda kuwa mwekezaji wa treni
Tulia.. uko tayari kuwa jini!??
💰💰💰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewee...Huyo alitafutia wapi? 😀😀 ukilijibu ili swali, kesho naenda kuwa mwekezaji wa treni
Ndio maana tunashauriwa tusitamani vya watuWewee...
Tulia.. uko tayari kuwa jini!??
💰💰💰
Mbona Zuri BM hahaaa nakufa[emoji1787][emoji1787]View attachment 2659720View attachment 2659721
Sio majumba tu naona pia ana super mtindiz [emoji39]
Ha kumuuliza kwasababu ni kipindi cha ujenzi sio personal stuffNimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. Aaaaaaaaaahhhhhhh
Warraaaap mbona umefurahi sana 😂🍻[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Warraaaap mbona umefurahi sana [emoji23][emoji482]
Si umeona pic lakn kitu whole milk 😋Umesifia mtindizz kwa uchungu [emoji23]
Si umeona pic lakn kitu whole milk [emoji39]
Na huna cha kuwafanya ata ukiwa na wasiwasiHao vijana wenzie nina wasiwasi na vyanzo vya mapato yao pia.
Labda ziwe za urithi,,, watu wanakaribia kugota 40/50 hata Banda la uani halijakamilika.Haya twende, Logically/Practically Je Dada mwenye miaka 22-26(tuweke hio maximum 26 iliyotajwa) anaweza kumiliki nyumba hizo tajwa au laa?
Anaitwa Kate, namfahamu kiasi flani[emoji23]
Nitamjengea cute wife hata nyumba 1, ipo siku......
Sabuni ya RohoMkuu tafuta hela😅🤣😅🤣😅😅🤣🤣
NishaaminiWenye nyumba wako nyuma ya pazia huyo ni chambo tu
Nimebahatika kuona hiko kipindi juzi, kama sikosei, ingawa ilikuwa mwishoni. Mmh, kale kadada acha kabisa; ile nyumba yake ina choo cha milioni 25 na tiles za kisasa kabisa.....the latest. Kama unavyosema, anazo tatu. Yupo kwenye late 20s na ule mtaa wao, wa Goba, anasema wapo vijana tu wanaoangusha majumba maeneo hayo!Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. Aaaaaaaaaahhhhhhh
Pia sometimes in every great fortune, there's crimeIn every successful woman there's a wise man behind her.Ova!