Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Watu wana siri zao, na usitegemee watakuja wazianike hadharani.Mimi nimeleta mada kwa mshangao, hela katoa wapi kwa umri ule? Sijui chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana siri zao, na usitegemee watakuja wazianike hadharani.Mimi nimeleta mada kwa mshangao, hela katoa wapi kwa umri ule? Sijui chochote
Yes...zile tiles...ile toilet...na ile kujitetea kuwa eneo lile wanaishi vijana around 20's..30's na 40's...,tuu du! Amewajuaje wa mtaa wotee...na ages zao...?? anyway asante kwa taarifaWhich means hakujua bei na yalikotoka
Kuwajua yawezekana, labda madalali walimwambia tunakutafutia kiwanja mtaa wa vijana billionairesYes...zile tiles...ile toilet...na ile kujitetea kuwa eneo lile wanaishi vijana around 20's..30's na 40's...,tuu du! Amewajuaje wa mtaa wotee...na ages zao...?? anyway asante kwa taarifa
Hao vijana wenzie nina wasiwasi na vyanzo vya mapato yao pia.Yes...zile tiles...ile toilet...na ile kujitetea kuwa eneo lile wanaishi vijana around 20's..30's na 40's...,tuu du! Amewajuaje wa mtaa wotee...na ages zao...?? anyway asante kwa taarifa
Picha zipo na majibu pia yashaletwa na wachangiajiUzi wa hovyo hakuna cha picha wala nini
Mkubwa Siku nyingine kabla ya kuanza kuandika uzi uwe na info na details za kutosha kwa kile unachataka kukiwakilisha kwa walajiPicha zipo na majibu pia yashaletwa na wachangiaji
Kumbe, nimejua leoSio kweli
Wanyakyusa sio wacha Mungu
ila hawaamini kama kuna njia nyingine za kupata pesa zaidi ya dini
Migogoro karibu yote ya viongozi wa dini za kikirsto lazima umkute mnyakyusa
Hivi mbona unaleta wehuu...mleta mada kajitosheleza...Ninyi ilibidi tuwauze pamoja na bandari...huwelewi nn sasaMkubwa Siku nyingine kabla ya kuanza kuandika uzi uwe na info na details za kutosha kwa kile unachataka kukiwakilisha kwa walaji
Usikute mtumishi nae kashalishwa usembe na hajui🤣🤣🤣🤣Eti ndo anapokojolea mwamposa🤭
🤣🤣🤣🤣🤣Usikute mtumishi nae kashalishwa usembe na hajui🤣🤣🤣🤣
♥️😘Kwa sasa maombi yangu ni afya njema na furaha ya kudumu🙏
😘😘
Mkuu tafuta hela😅🤣😅🤣😅😅🤣🤣Mleta mada, unatakiwa utueleze, alivyoanza kudunduliza mpaka akapata hizo hela na hatimaye kufanya hivyo vitu; hapo mada ingekuwa imekamilika vizuri.
Huyo alitafutia wapi? 😀😀 ukilijibu ili swali, kesho naenda kuwa mwekezaji wa treniMkuu tafuta hela😅🤣😅🤣😅😅🤣🤣
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. Aaaaaaaaaahhhhhhh
Kwa sasa maombi yangu ni afya njema na furaha ya kudumu[emoji120]
Ramani za wabongo chenga tupu , motivation za wabongo zimekaa kimtego mno, nenda Kwa step Sana unapotaka kumuungia MtuHao ni Ma-Slay queen ,walianza na mtaji wa elfu 10 ,jichanganye uone....Ni kama Shamim Zeze 8020 Fashion alivyokuwa anawadanganya wanawake wenzake kumbe behind the scenes wanauza BWIMBWI.
Siku moja itajulikana ukweli!.Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. Aaaaaaaaaahhhhhhh