Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wengi huwa tunaangalia matokeo tu; hatuangalii ule mchakato ulioleta hayo matokeo.
Pesa inaweza kwenda kwa mtu yeyote yule, ni sawa na mtoto wa miaka 5 aokote begi la hela la bilioni 10; matokeo yake tutakuwa tunasifu mtoto mdogo ana hela nyingi n.k
Mleta mada, unatakiwa utueleze, alivyoanza kudunduliza mpaka akapata hizo hela na hatimaye kufanya hivyo vitu; hapo mada ingekuwa imekamilika vizuri.