Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe....ndo yupo kutumia sadaka zetu za kujimaliza!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena anazitumia kisawasawa
Screenshot_20230616_162506_Instagram.jpg
 
Jamii forum kiboko...kwa bahati mbaya niliangalia hicho kipindi juz anavyo hojiwa..aloo nilijichukia haswa...nilizima tv kwa hasira afu nikajiuliza hata kama ni bahati kwa thaman ya lile jumba na bado halijaisha na bado akaongezea anazo tatu...dah binafsi nilijiuliza na hasira za kufanya jambo la pesa ming likanijia kwa haraka bt atleast nimepata infos zake kidogo humu pressure imepungua bt tupambane kila kitu kinawezekana
Poleeehh mwaya
 
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.

Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.

Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.

Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. Aaaaaaaaaahhhhhhh
Nyumba zipo peponi achana na dunia
 
BIla picha ni umbea
 
Kwa maisha yetu ya kibongo,kuweza kumiriki nyumba tatu za thamani ya 60+Milioni,tena ukiwa at 35+,ni wachache sana,umalize shule update ajira yq kukulipa 2.5M+,hizo ajira ni chache sana,
Kwa uzoefu wangu,kwenye industry Moja maarufu,salary zilikua ndogo sana miaka hiyo ya 2000,ila wizi kwenye industry ulikuwa mkubwa sana,vijana walitqjirika sio kwa salary au mikopo Bali wizi!
Magsri,majumba,walijenga wengine waliamua kuwa na totoz TU,mpaka sie tunaingia 2006+,watu walikuwa wameishatsjirika,industry ikawa ngumu 2010+,hapo aliyekuwa hajajenga ndio imetoka hiyo,ikirudi pancha!!wazee wangu wengine ndio ikawa chaliiii kabisa,wamekuwa mafukara,waliosoma alama za nyakati Sasa hv ni madingi 56+,wanamiriki makampuni na wametoa ajira kwa machalii kibao,ila wizi ndio hakuna tena,ni kuishi kwa salary TU,
Mzungu mchawi
Hii coment imefanya niyatafakari maisha yangu halafu nikagundua imekua namkosea Mungu shukrani
 
Back
Top Bottom