Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Alikuwa na kipini puani, Sema nini, sura za wanawake Kama vinyonga. Hivyo sibishi au kukubali
Hahaa hapa umekiri mwenyewe ni kama vinyonga.
Sasa nadhibitsha sio huyu, yule sio Mrembo hivi. Ni wa kawaida Sana tu.
BTW video na picha ni tofauti, picha unaweza uka edit utakavyo ila video ina limit kiasi flani hasa kwa camera zetu za kibongo za 1K.
 
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.

Anadai yeye huwa hapendi Sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.

Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza Siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.

Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. aaaaaaaaaahhhhhhh
Kuna wanawake ni smart sana sana..wappo wengi tu...ntakicheki hicho kipindi
 
Unashindwa vitu vidogo tu minimeona uzi tu na nimepata account yake sekunde haya mfollow roll model wako


Screenshot_20230616-151753.png
 
Back
Top Bottom