Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Alikuwa na kipini puani, Sema nini, sura za wanawake Kama vinyonga. Hivyo sibishi au kukubali
Zoom hiyo utakutana na kipini
Screenshot_20230616_145940_Instagram.jpg
 
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.

Anadai yeye huwa hapendi Sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.

Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza Siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.

Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. aaaaaaaaaahhhhhhh
Hongera kwake, niliangalia kipindi .
 
Starehe ya smati foni ni kuzumu picha sasa haujaweka picha naangalia Uzi wako kiviivu!
weka picha hata ya nyumba ya mwenyekiti wa Kijiji chenu au nesi wenu keweka msisitizo.
 
Back
Top Bottom