Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

Connection za mishe/dili tu Mzee baba, hapa mjini pana mengi.
 
Wanawake kufanikiwa kipesa siku hizi ni jambo la kawaida ila 90% ya mafanikio yao yanatokana

na watu walio nyuma yao,only 10% huwa stable financialy kwa Jasho lao wenyewe only 10 na wanaweza wasifike hiyo 10%.

Kufanikiwa fanya masihara ninii....
 
dunia ya sasa ukiangalia maisha ya watu,story zao za mafanikio,Umri wao

unatoka nnje ya reli mazima na usipokua makini unapotea kimojaaaaaaa

Binafsi nikitaka kuhojiwa na Channel yoyote hii nchi ni swala la hela tu unawapa fungu lao

unawambia unataka kipindi gani,kisha unafwata unaulizwa maswali uliyotaka uulizwe,Simple!

Wenye pesa chafu saivi ni wengi sana,bila kugawa umiliki wa mali zao kwa totoz kama hawa

lazima watashtukiwa,ila kuna Jemedari 1 lipo nyuma ya pazia ndio ambalo linafanya fujo zote hiziii

Tutakao amini ni majumba ya huyo mdada acha tuendelee na imani yetu,na sisi wengine tunaoamini tofauti tuachwe pia,Muhimu story ni nzuri imetufunza vingi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…