Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Ukaamua uandike hadi kihehe kabisa?πππππOna sass, mshabadilisha uzi kuwa wa maneno magumu magumu.....
Acheni bana tuendelee kucheka, kufurahi na kuburudika na alfulela ulela za blangata za nchi yetu... πππ.
Nyoda ake Mtufudenge....πππ.
Mpaka leo, bado una fikra za kizaman, kwamba hao watu wa Idara hawatakiwi kufahamika.Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwalikoπππ waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi?
Ndio ndani ya mwezi mmoja awe na nyota 3 na ukomando juu?!! Zoom picha yake uwanja wa Taifa akiwa anafanya show kwa mheshimiwa na halaikiau jamaa alipewa kitengo baada ya kuuza madafu matamu pale ikulu
Hii nchi uishi kwa machaleHapa alikua kwenye tukio ganiii
Walikukatalia nini bibie?Kwanza kabisa ningependa kuchukua wakati huu kumshukuru mama kabla ya kucheka
Lakini mwanzo niliwaambia kabisa. Ni vile tu akina Lucas Mwashambwa walinikatalia
Mbona ni huyo huyoView attachment 2975020
Hawa ni watu wawili tofauti muuza madafu hata kiumri ni mdogo kwa Komando ingawa wamefanana
Story nyingi za Mji husika huwa zinapatikana Kwa bodaboda as mgeni gani ameingia kwenye huo mji, amefikia Kwa Mzee gani ama nyumba ipi.Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?
Embu tuwa update hawa majasusi wetu wa deal na mambo makubwa huku kwenye bodaboda kumekaa kisiasa zaidi.
Wewe ugasho mlete mkeo au dada ako kama hajapandwa hapa
Tofautii kabisa....angalia pua zaoMbona ni huyo huyo
Kamanda aja jificha kabsa hata apo kwenye madafu kasimama kijeshi kabsa ..
Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambonatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwalikoπππ waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wHuwa ni special forces tuu ndani ya jeshi (millitary special forces)
inapaswa kuwa hivyoSuala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.
Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani
Ikaja Kwa Walimu
Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
Na mashavu pia. Total different.Yule muuza madafu anaweza nae akawa mwanajeshi, lakini huyu wa Leo ni mtu mwingine tofauti. Wamefanana tu, ila ukiangalia vizuri utaona sio yeye. Hata muundo wa pua zao uko tofauti.
Mwamba yuko vizuri kwa muonekano wake kuwa captain na full bawa sio poa.Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI
WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Eti mkuu fua Hilo huoni mazoez kayafanya kama kazi huyuKijana anaonekana ni mwenye ukakamavu wa Hali ya juu Sana.
Au Mimi macho yangu ndio mabovu Wakuu?
View attachment 2974806View attachment 2974808View attachment 2974809View attachment 2974810
Huoni pua na mashavu havifanani?Mbona ni huyo huyo