Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hapa ndipo tunapokwama

Baadhi ya Wanasiasa wa leo dunia ni wafanyabiashara kupitia siasa..Sababu wengi wanaingia ktk ulingo wa siasa wakiwa maskini kabisa baada ya miezi au miaka michache wanakuwa mabilionea..

Asilimia kubwa ya wanasiasa hawana uzalendo uliotukuka..Miiko ya uongozi haipo nafsini Meso..Wamekuwa wa binafsi,wachoyo,walafi,wakatiri..Though Wapo wenye hofu ya Mungu na maadili ingawa ni wachache sana..

Tuzidi kuwaombea Viongozi wetu ili Mwenyezi Mungu awafungue roho,nafsi na mioyo yao wawe sadaka Kwa ajili ya taifa na vizazi vijavyo
 
Watanzania kwa ujuaji ujuaji tu. Laiti tungewekeza weledi wa ujuaji ujuaji kama huu kwenye uchumi, utawala bora kupigana na ufisadi tungekuwa mbali na kuleta unafuu na maisha bora kwa wananch.
 
Huwezi kulinganisha fighting skills za special forces na za professional MMA fighter.

Totally two different things.

Mjinga hapa ni wewe.
Wewe ulikuwa unaheshimika sana hapa jukwaani ila kwa hizi comments sidhani
 
Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!

🤣

Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!

🤣

Huwa ni mkurupukaji sana kwenye mada ambazo hana uelewa nazo.. Na sehemu kubwa sana ya hoja zake zimejaa hisia zaidi kuliko mantiki. Na ukituliza akili ukamchunguza sana ana chembechembe za wivu sana akihisi mtu fulani anasifiwa anatamani hizo sifa apate yeye.. Special Force anakuwaje sawa na Mwanajeshi wa kawaida hata katika Training? Ni akili za kilevi hizi jamaa alizokuwa nazo na ujuaji usiokuwa a maana.. Special Force ni kikundi maalumu kinachoongezewa mafunzo adhimu zaidi kuliko mwanajeshi wa kawaida kutekeleza majukumu katika mazingira ambayo kwa akili ya kawaida ya kijeshi inaonekana haiwezekani.
 
Utaandika magazeti yote leo lakini maswali yangu mawili tu yamekutoa kwenye reli na kuanza personal attacks 🤣 na kuninukuu mara mbilimbili. Dalili za mtu aliyeshindwa hoja.

Yajibu basi yale maswali yangu mawili.
 
Utaandika magazeti yote leo lakini maswali yangu mawili tu yamekutoa kwenye reli na kuanza personal attacks 🤣 na kuninukuu mara mbilimbili. Dalili za mtu aliyeshindwa hoja.

Yajibu basi yale maswali yangu mawili.
Yale sio maswali bali ni ulimbukeni uliojificha kwenye swali ndio maana sijajibu.. Kutaka kunionyesha kwamba unafahamu martial Arts.
 
Yale sio maswali bali ni ulimbukeni uliojificha kwenye swali ndio maana sijajibu.. Kutaka kunionyesha kwamba unafahamu martial Arts.
🤣🤣

Umeshindwa kuyajibu kwa sababu hujui unachokiongelea ndo maana unajificha nyuma ya lame excuse.
 
Basi itoshe kusema kipengele cha mwendelezo/continuation kwenye movies kilitesa ma directer weng miaka ya nyuma hasa hapa tz but nowdays huwez ona makosa ya yalokuwa yanatokana na mwendelezo. Yan kustop kwa movies na kuja kuchezwa wakati mwingine

hichi kilichotokea hapa kimenikumbusha idara moja ambayo nayo ilikuwa inafanya makosa kama haya ila saiviiiii imekuwa hatarii. Yan movie kama kama live vileee

Propaganda huwa ni rahisi kuigundua ikiwa unafuatilia mambo
 
Kama ni yeye 3 stars captain then full bawa na hio age yake basi jamaa yupo vizuri
UPSTAIRS
PHYSICAL
MEDANI

WHAT IF TUMEONYESHWA TENA ILI TUANZE KUMJADILI YEYE?
Oyaa acha kujaribu kubadilisha magoli. Mmebugi kubalini tu. Msituone sisi ni rahisi kupangwa.
 
Wewe jamaa cheka sana
 
Nchi masikini naziona zidhalilika kwenye High tech security systems and strategies.
 
Hivi swala kikokotoo limeishia wapi?

Umeme umezidi mpaka tumezima mitambo bei inashushwa au haishushwi?

Mimi yangu ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…