Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Nchi hii tufike mahali tuchague rais msomi wakweli asiyeweza kucheza maigizo yakijinga...
Nafasi ya uraisi huwa inagombewa na vi...za nasisi raia tunashangilia makiki ya kijinga!!
Mf. Mrema,makonda,januari,mwigulu,sa10mbowe,salaam hawakupaswa hata kuwaza uraisi
 
Sio yeye hata ukiangalia lips za mdomo sema wanaelekea kufanana tu,
Unataka kusema captain Wa jesh akauze madafu
 
Muuza Madafu akicheza Karate, Judo na Kuzungusha Mapanga mama hana akili nzuri...
Anansema sasa Hivi kanunua Boda boda..

Sasa nyie jichanganyeni mkijua ni Muuza madafu 😂😂
Your browser is not able to display this video.
 
Lucas mdogo wangu!
Kuna mambo mengine yakuacha..

Wee unaamini Alivyosema Juzi kwamba amenunua pesa kwa pesa ya madafu anayouza..?

Kwahyo sasa hivi ni Boda boda?

Sasa nataka ujiulize kitu kuna muuza madafu anaweza cheza na Vifaa na Silaha namna hii?
Your browser is not able to display this video.
 
Tunawaanika sana makachero wetu ni kosa kubwa Sana kiusalama
 
Kuna masuala huwezi kuyajua mpaka unakufa.Hawezi kukubali kwamba ni yeye
 
Pia vyombo vya habari vimezidi Sasa,sio Kila kitu kuandika
 
Huy
Huyo sio mimi. Mimi ni muuza madafu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…