Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

kama kawaida ni tall kiasi, mweusi , mshahara mnono nyota 3 c mchezo😂
Achana na hizo nyota mkuu
Kuna ule weusi wake tu + ngozi ilivyokomaa
Urefuu wake yani safi sana
💃🏾💃🏾💃🏾
Ila ukiachana na hayo mi nataka nipate nafasi tuongee mambo ya kikazi 😎
 
Unaanzaje anzaje kuingia ikulu? Kama unataka kifo sogelea ikulu, ukishaona mtu yupo ikulu na karanga au madafu pigia mstari
Kama dafu Ikulu linauzwa na Komandoo SASA kajichanganye. Mie nikipita maeneo Yale wala huwa sitazami upande ule😄😄😄
 
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?

Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu.

Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio rahisi.

Mossad ambao chini ya vikosi vyao maalumu vya assassination wamekuwa na haka katabia ila mara zote Huwa wanatoa hizo taarifa baada ya miongo kadhaa. Mfano nikatikamiaka ya hivi karibuni Dunia imeweza kujuwa vile Mossad walifanya mauwaji ya kulipiza kwa viongozi wa Hamas kutokana na mauwaji ya Munich German ambapo Waziri Mkuu wa wakati ule aliapa kila alie panga au kutekeleza Yale mauwaji lazima auwawe. Hii ni moja ya operation ngumu sana ilio tekelezwa na Mossad chini ya special force Kidon🤔.

Ktk Dunia ya ujasusi kila kitu kinawezekana. Ikumbukwe ktk Taifa lolote duniani Kuna special walinzi wa Rais ambao hawa hutoka ktk idara nyeti za usalama na jeshi. Ni team ambayo wanasema Huwa inabadilika baada ya muda wa Rais kuisha.🤔

Nikatika team hii ambayo imesheheni wadunguaji na viumbe hatari ktk Tasinia ya usalama ndio Huwa na aina hii ya watu, wauza mahindi, matunda au kuchoma nyama yes hawa ni special unit ya ulinzi wa Rais ambao huratibu usalama wa Rais na vile wanaweza cheza na hisia zenu.

Inasemekana huko miaka ya nyuma jeshi kilikuwa halina intelligence yake jambo lilikuwa likileta shida ktk mambo ya taarifa. Hivyo chini ya wanakidoni wa Tz ikaanzishwa hiyo military intelligence ambayo matokeo yake ndio hayo mnaona sasa. Nadhani mnanielewa.

Twende kwenye awali why mchoma mahindi amegeuka kuwa komando japo yeye anakataa jambo Hilo kitu ambachobni sahihi maana hatokubali. Haya Yesu ashuke maana kukiri kwake kwaweza kuwa ndio mwisho wa safari yake.😭🤐.

Kuna somo kubwa sana ktk ulimwengu wakijasusi lazima wa Tanzania mjifunze nakuamka sasa. Kiufupi Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tz ametuma msg ngumu sana kwa watanzania na wale wanamzunguka.

Msg yake nifupi sana Mimi ni mama ila msinichukue poa. Nimevaa gauni ila ndani Nina combat ya kikomando na tusifanyiane mchezo.

Ndugu zangu kiufupi hapo Jirani panafuka Moshi na zipo taarifa amabazo sio rasmi Tz wanataka chomoa better 🤐

Ila wanashauriwa kabla ya kuchomoa yatawakuta mambo magumu sana hivyo mna pewa wosia muwe makini. Ndio sura ni ya mchoma mahindi ila Yeye sie mchoma mahindi mmemfananisha🤐🤔
 
Sijakataa suala ni kwamba wanawa expose sana na wakati inabid iwe kimya kimya kama yule jamaa alielichomea Jiwe Mahindi na Mwingine akampa Jogoo 😂😂😂 yani ni mixer Orijino Komedi Swali Ushawaona KBG au CIA wanafanya huu ukanjanja kwetu ndo kuna bongo movie
Jamii ni tofauti mkuu na mazingira ni tofauti, jamii ya watu waeupe na sisi tunaishi kwenye mifumo tofauti, maigizo wanayotumia wao ukileta kwetu haifanyi kazi na maigizo yetu ukipeleka kule hayafanyi kazi yataonekana kituko.
 
Huwezi kulinganisha fighting skills za special forces na za professional MMA fighter.

Totally two different things.

Mjinga hapa ni wewe.
Sikuzungumza kulinganisha fighting skills za Special forces na MMA.. Nilichokataa ni kusema Special Forces wanapewa basic. Hiyo research ya wapi bro. Mwanajeshi wa kawaida atapewa nini pia kama special Forces akipewa Basics?. Wanaweza wasiwe bora wote inategemea pia na kichwa chako katika mapokeo ya skills. Lakini msipende kuleta hoja za kudanganya watu humu ndani.. Achana na mtu anayeitwa Special Forces.
 
Basic training ni kwenye hand to hand combat.

Hawana skills za kuweza kulinganisha na amateur fighters wala professional fighters.

Ni wapi hao special forces huwa wanapigana kikweli kweli? Ni kwenye mashindano gani?

Halafu unadhani ni nani huwa anawapa hao special forces hizo hand to hand training?

Au wewe niambie ni training gani ya hand to hand combat ambayo special forces wanapata ambayo wanajeshi wengine hawapati?
 
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.

Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.

Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.

Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!

Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

View attachment 2974869

View attachment 2974798

View attachment 2974800
Kwani kuna agenda gani inataka kupita comrade?

Maana nna hakika kumpeleka comando mwenye rank ya captain kwenye kuuza madafu tena mbele ya public, then kuja kumu expose kwenye shughuli ya halaiki haikuwa bahati mbaya.

Then next day tunaona tukio la aliyekuwa waziri mstaafu kudhalilishwa at the same time wahalifu/watendaji kukamatwa na kutangazwa in public.

I hope its time to change the old techniques let's made the modern one ni hayo tu
Jb
 
Hata kama sio yeye ila wale waliokuwa wanauza madafu ikulu hawakuwa raia wa kawaida, na pia hawakuwa wanausalama wenye vyeo vidogo. Katika hali ya kawaida nani atakaye kuruhusu umhudumie raisi wa nchi, huku umeshika kisu mkononi? Hicho kitu hakiwezekani kabisa? Lazima uwe mwanausalama.
Kwa hiyo haijalishi ni huyo au sio, ukweli ni kwamba yule muuza madafu hakuwa raia wa kawaida
Hapa mleta mada kauliza kuwa kwa picha hizo, muuza madafu ndiye au siye, sasa wewe unaleta maelezo yako tena!
 
Sasa vitu vidogo kama madafu mpaka wamtumie mtu wa TISS? Kwani kuna threat kubwa kiasi gani kwa Rais (hasa wa sasa, ingekuwa JPM sawa) kama angetumika muuza madafu kweli? Si wangemfanyia tu screening ya hali ya juu! Wanamambo ya ajabu watu wetu wa Usalama! Mpaka hasira.
 
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?

Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu.

Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio rahisi.

Mossad ambao chini ya vikosi vyao maalumu vya assassination wamekuwa na haka katabia ila mara zote Huwa wanatoa hizo taarifa baada ya miongo kadhaa. Mfano nikatikamiaka ya hivi karibuni Dunia imeweza kujuwa vile Mossad walifanya mauwaji ya kulipiza kwa viongozi wa Hamas kutokana na mauwaji ya Munich German ambapo Waziri Mkuu wa wakati ule aliapa kila alie panga au kutekeleza Yale mauwaji lazima auwawe. Hii ni moja ya operation ngumu sana ilio tekelezwa na Mossad chini ya special force Kidon🤔.

Ktk Dunia ya ujasusi kila kitu kinawezekana. Ikumbukwe ktk Taifa lolote duniani Kuna special walinzi wa Rais ambao hawa hutoka ktk idara nyeti za usalama na jeshi. Ni team ambayo wanasema Huwa inabadilika baada ya muda wa Rais kuisha.🤔

Nikatika team hii ambayo imesheheni wadunguaji na viumbe hatari ktk Tasinia ya usalama ndio Huwa na aina hii ya watu, wauza mahindi, matunda au kuchoma nyama yes hawa ni special unit ya ulinzi wa Rais ambao huratibu usalama wa Rais na vile wanaweza cheza na hisia zenu.

Inasemekana huko miaka ya nyuma jeshi kilikuwa halina intelligence yake jambo lilikuwa likileta shida ktk mambo ya taarifa. Hivyo chini ya wanakidoni wa Tz ikaanzishwa hiyo military intelligence ambayo matokeo yake ndio hayo mnaona sasa. Nadhani mnanielewa.

Twende kwenye awali why mchoma mahindi amegeuka kuwa komando japo yeye anakataa jambo Hilo kitu ambachobni sahihi maana hatokubali. Haya Yesu ashuke maana kukiri kwake kwaweza kuwa ndio mwisho wa safari yake.😭🤐.

Kuna somo kubwa sana ktk ulimwengu wakijasusi lazima wa Tanzania mjifunze nakuamka sasa. Kiufupi Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tz ametuma msg ngumu sana kwa watanzania na wale wanamzunguka.

Msg yake nifupi sana Mimi ni mama ila msinichukue poa. Nimevaa gauni ila ndani Nina combat ya kikomando na tusifanyiane mchezo.

Ndugu zangu kiufupi hapo Jirani panafuka Moshi na zipo taarifa amabazo sio rasmi Tz wanataka chomoa better 🤐

Ila wanashauriwa kabla ya kuchomoa yatawakuta mambo magumu sana hivyo mna pewa wosia muwe makini. Ndio sura ni ya mchoma mahindi ila Yeye sie mchoma mahindi mmemfananisha🤐🤔
Ni upuuzi tupu.

Adui mkubwa kabisa wa usalama wa nchi kwa Sasa ni kuwepo kwa hali mbaya sana ya kiuchumi miongoni mwa Wananchi wengi hapa nchini, wala siyo haya maigizo yao ya siasa uchwala Kama hizi wanazofanya. Wapinzani au wakosoaji wa utawala uliopo siyo kitisho cha usalama wa nchi kama wanavyofikiria hao watawala na vibaraka/chawa wao.
We need the strong Economic Espionage, ambayo itaimarisha Uchumi wa nchi, siyo kuwa na watu wafanya maigizo kama hao au kutuma watu 'wakiwa kwenye Noah nyeusi' na kuzunguka huko mitaani eti wakiwatafuta watu wanaoikosoa CCM au wanaokosoa watawala waliopo madarakani.
 
Huwezi kulinganisha fighting skills za special forces na za professional MMA fighter.

Totally two different things.

Mjinga hapa ni wewe.
Sikuzungumza kulinganisha fighting skills za Special forces na MMA.. Nilichokataa ni kusema Special Forces wanapewa basic. Hiyo research ya wapi bro. Mwanajeshi wa kawaida atapewa nini pia kama special Forces akipewa Basics?. Wanaweza wasiwe bora wote inategemea pia na kichwa chako katika mapokeo ya skills. Lakini msipende kuleta hoja za kudanganya watu humu ndani.. Achana na mtu anayeitwa Special Forces
Basic training ni kwenye hand to hand combat.

Hawana skills za kuweza kulinganisha na amateur fighters wala professional fighters.

Ni wapi hao special forces huwa wanapigana kikweli kweli? Ni kwenye mashindano gani?

Halafu unadhani ni nani huwa anawapa hao special forces hizo hand to hand training?

Au wewe niambie ni training gani ya hand to hand combat ambayo special forces wanapata ambayo wanajeshi wengine hawapati?
Kwahiyo unataka waje kupigana mbele yako ndio ujue kwamba wana hizo skills. Special Forces sio athletes wanaweza kudisplay uwezo wao public. Ni pale anapokuwa kwenye majukumu mama. Pengine huna hata uelewa maana ya Special Forces ndio maana unataka kuleta usambamba wa special Forces na Mwanajeshi wa kawaida
 
Back
Top Bottom