Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?
Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu.
Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio rahisi.
Mossad ambao chini ya vikosi vyao maalumu vya assassination wamekuwa na haka katabia ila mara zote Huwa wanatoa hizo taarifa baada ya miongo kadhaa. Mfano nikatikamiaka ya hivi karibuni Dunia imeweza kujuwa vile Mossad walifanya mauwaji ya kulipiza kwa viongozi wa Hamas kutokana na mauwaji ya Munich German ambapo Waziri Mkuu wa wakati ule aliapa kila alie panga au kutekeleza Yale mauwaji lazima auwawe. Hii ni moja ya operation ngumu sana ilio tekelezwa na Mossad chini ya special force Kidon🤔.
Ktk Dunia ya ujasusi kila kitu kinawezekana. Ikumbukwe ktk Taifa lolote duniani Kuna special walinzi wa Rais ambao hawa hutoka ktk idara nyeti za usalama na jeshi. Ni team ambayo wanasema Huwa inabadilika baada ya muda wa Rais kuisha.🤔
Nikatika team hii ambayo imesheheni wadunguaji na viumbe hatari ktk Tasinia ya usalama ndio Huwa na aina hii ya watu, wauza mahindi, matunda au kuchoma nyama yes hawa ni special unit ya ulinzi wa Rais ambao huratibu usalama wa Rais na vile wanaweza cheza na hisia zenu.
Inasemekana huko miaka ya nyuma jeshi kilikuwa halina intelligence yake jambo lilikuwa likileta shida ktk mambo ya taarifa. Hivyo chini ya wanakidoni wa Tz ikaanzishwa hiyo military intelligence ambayo matokeo yake ndio hayo mnaona sasa. Nadhani mnanielewa.
Twende kwenye awali why mchoma mahindi amegeuka kuwa komando japo yeye anakataa jambo Hilo kitu ambachobni sahihi maana hatokubali. Haya Yesu ashuke maana kukiri kwake kwaweza kuwa ndio mwisho wa safari yake.😭🤐.
Kuna somo kubwa sana ktk ulimwengu wakijasusi lazima wa Tanzania mjifunze nakuamka sasa. Kiufupi Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tz ametuma msg ngumu sana kwa watanzania na wale wanamzunguka.
Msg yake nifupi sana Mimi ni mama ila msinichukue poa. Nimevaa gauni ila ndani Nina combat ya kikomando na tusifanyiane mchezo.
Ndugu zangu kiufupi hapo Jirani panafuka Moshi na zipo taarifa amabazo sio rasmi Tz wanataka chomoa better 🤐
Ila wanashauriwa kabla ya kuchomoa yatawakuta mambo magumu sana hivyo mna pewa wosia muwe makini. Ndio sura ni ya mchoma mahindi ila Yeye sie mchoma mahindi mmemfananisha🤐🤔