Nyuma ya maduka ya namanga au unaweza kusema kati barabara ya Ali bin said na zile squatterNamanga makangira ni sehemu gani hapo? Ni nyuma ya Don-bosco?
tena unatumbikia shimoni hivi , manyumba yako kwa chini na kuna vilabu vya pombe chafu, labda kama siku hizi hamna tenaKuna squatter moja matata sana
Ova
Ubalozi ulikuwa unataka upande wa msasani ya mandaz roadNalijua hilo chimbo nimekatiza sana humo miaka ya 90 mpaka 2000, sasa mbona liko mbali na ubalozi, huyu mlugaluga anaongea nini
20K ni bei ya 2021 kwa kanda ya ziwa!Siku hizi hakuna kelele za vyuma kukaza.
Watu wanafyatuka tu.
Cement 20,000 alafu kama hakuna jambo lilotokea.watu wanajenga
miaka mingi tu iliyopita jeshini kumekuwa na kuna wizi tena wa kufa mtu, sema kwa kuwa zamani mitandao haikuwepo hivyo ilikuwa ngumu kupata habari za wizi na hata zikiwepo ilikuwa ngumu wadanganyika kuamini maana walikuwa wanaamini mno kila wanachoambiwa na ccm. Kumbuka kashfa ya wafanyabiashara wa kiasia kuagiza bidhaa na kusema ni mali ya jeshi na kwa hiyo hazikuwa zinalipiwa kodi then zikawa zinauzwa kwa wananchi kwa bei juu as if zimelipiwa kodi. Kumbuka kashfa ya manji sare za jeshi, kumbuka kashfa za lugumi na wengine kibao. Jesh linalinda wezi kabisa tena kwa wivu mkubwa sana.Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.
Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.
UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.
Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye maliMimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.
Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.
UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.
Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Ndiyo maana huwa nawashangaa wanaodai Jeshi letu laweza kuipindua serikali.miaka mingi tu iliyopita jeshini kumekuwa na kuna wizi tena wa kufa mtu, sema kwa kuwa zamani mitandao haikuwepo hivyo ilikuwa ngumu kupata habari za wizi na hata zikiwepo ilikuwa ngumu wadanganyika kuamini maana walikuwa wanaamini mno kila wanachoambiwa na ccm. Kumbuka kashfa ya wafanyabiashara wa kiasia kuagiza bidhaa na kusema ni mali ya jeshi na kwa hiyo hazikuwa zinalipiwa kodi then zikawa zinauzwa kwa wananchi kwa bei juu as if zimelipiwa kodi. Kumbuka kashfa ya manji sare za jeshi, kumbuka kashfa za lugumi na wengine kibao. Jesh linalinda wezi kabisa tena kwa wivu mkubwa sana.
Huu wizi hauwezi kwisha kabda Mungu aingile kati. Kumbuka mama mwizi na mwanae mwizi wanahonga hao jamaa na kuwapa mali ili walindwe maana wanajua kamwe mama mwizi hakubaiki
Kwa raha wanazopewa na huyu mama sio rahisi aisee watu wanahongwa buana na ushirikina wa kuwapumbuza wanafanyiwa hasa. Yaan mama Tanganyika kashindiliwa vyuma vya moto kila mahala inasikitisha sana ila ndiyo hivyoNdiyo maana huwa nawashangaa wanaodai Jeshi letu laweza kuipindua serikali.