Uandishi wako š¤£Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.
Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.
UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.
Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Kwa urefu wa kamba mkuuWatu wanakula kwenye hii nchi! Acha kabisa.
š¤£Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye mali
Lakini UBALOZI walipotaka kujua bei waliende kuuliza Serikali. Hawakutaka bei ya mwenye mali.
Huo utakuwa UBALOZI wa nyumba kumi, Manzese kwa Muuza komoni.
Kuna ishu ilitokea kipindi cha Mkapa.Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye mali
Lakini UBALOZI walipotaka kujua bei waliende kuuliza Serikali. Hawakutaka bei ya mwenye mali.
Huo utakuwa UBALOZI wa nyumba kumi, Manzese kwa Muuza komoni.
October 29 walipewa mali zoteeeee
Kuna watu ni wabishi...hata miradi ya hisani kwenye maeneo wamewekeza watu weupe nimeshasikia stori mbili tatu jamaa wanagomea kufanya mradi kama hawasimamii fweza wenyewe.Kuna ishu ilitokea kipindi cha Mkapa.
NGO ya kimataifa ya kupambana na ukimwi ilikua inawalipa clinical officers kwa rates za huko nje ya nchi.
Ofisi ya utumishi ya halmashauri husika inaendesha zoezi la kuajiri ila mshahara unatoka huko. Ila wanakua wapo CTC.
Serikali ikasema hela ipelekwe kwanza serikalini kisha serikali ndiyo ilipe hao watu. Ile NGO ikakubali, CO wakashangaa mshahara unaanza kulipwa wa rates za Tz.
Wakakimbia kazi.
Sawasawa, na mimi nilitaka kusema hivyo,Ubalozi ulikuwa unataka upande wa msasani ya mandaz road
Ova
Nyuma ya maduka ya namanga au unaweza kusema kati barabara ya Ali bin said na zile squatter
Ova
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Kwenye zile kota opposite oysterbay police?Ubalozi ulikuwa unataka upande wa msasani ya mandaz road
Ova
Kuna mwaka fulani kuna habari ilitoka ya mnadhimu wa jeshi nafikiri jina ni Shimbo ya kwamba ana pesa mno ingawa si za halali.
Hii ilitokea nipo primary kwahiyo hata taarifa ilikuja lakini kuipata kwa uhakika ni ngumu
Wewe chezea sisi ndio watoto wa mjini sasa
Tigo,msasani club kushuka ile maandaz roadKwenye zile kota opposite oysterbay police?
Kwenye zile kota opposite oysterbay police?
Hahahahahaaaaa kumbe wee ni born town. Vipi huyu Mateso (Chek Norris) mnyakyusa uliweza kumfaham?Wewe chezea sisi ndio watoto wa mjini sasa
Dar yote mimi nizunguka sana wakati natoroka shule, zamani mpaka uwanja wa ndege kule miaka ya 80 tulukiwa tunaenda kujificha kuko kimya
Hiyo msasani hapo ubalozi ndio ilikuwa out yetu watoto wa uswazi tunaangalia movie za kibubu ili kuwa sinema ya drive in
Sema mdingi alikuwa na ukauzu, kauza kiwanja msasani kwenye madimbwi ya chumvi katuhamishia mbagala noma kweli sasa hivi pale ni haushi kama hauna dolari kuanzia bilioni
Umenikumbusha uwanja wa maguniašMaandazi road ni kwa nyuma ya ubalozi ulipo uwanja wa magunia, jina jingine almaarufu ni bonde la mpunga...