mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
hajarudisha kwa wakati..... wanaume tunateseka sana kupata hizo pesa mjue ๐ hamtaki kuzitumia kistaarabu...Kwani si alimwambia huyo dogo kua atarudisha jamani
Mbona hajarudisha huo ni wizi udokoziKwani si alimwambia huyo dogo kua atarudisha jamani
kwahiyo solution ndo kumfungia biashara ๐ค๐คจhajarudisha kwa wakati..... wanaume tunateseka sana kupata hizo pesa mjue ๐ hamtaki kuzitumia kistaarabu...
ilibidi amkazie alipe sio kumfungia biasharaMbona hajarudisha huo ni wizi udokozi
Kuna wanawake wameajiriwa wanalipwa karibu 1.3 take home ila bado ombaomba. Hamtosheki tu na kila kitu, sio dudu wala mali, haahaahahaahayani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka nini๐๐๐๐ค๐๐ผ
labda huyo mwanamke amefanya matukio mengi huko nyuma, ndo maana jamaa amepunguza kumuamini....kwahiyo solution ndo kumfungia biashara ๐ค๐คจ
relax kaka ๐ unaongea kwa hisiaKuna wanawake wameajiriwa wanalipwa karibu 1.3 take home ila bado ombaomba. Hamtosheki tu na kila kitu, sio dudu wala mali, haahaahahaaha
๐ ๐ ๐ ๐๐ผ sawaKuna wanawake wameajiriwa wanalipwa karibu 1.3 take home ila bado ombaomba. Hamtosheki tu na kila kitu, sio dudu wala mali, haahaahahaaha
labda๐ถlabda huyo mwanamke amefanya matukio mengi huko nyuma, ndo maana jamaa amepunguza kumuamini....
Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemheshimu.Sio la kwanza..
Ana tabia ya kutaka kuwa business woman lkn hawezi, ana uwezo mdogo sana ila haelewi
au labda jamaa anamdharau kabla hata ya kumjua vizuri....labda๐ถ
Labda nipe mbinu za kumkazia mke arudishe, unaanzaje kwanza? Siku nikikuta kachemsha mihogo na chai akasema anabana matumizi arudishe deni nitajibuje? Solution tu ni kutofika huko kwenye kudaiana, sababu mkifika hakunaga solution. Ndo maana mimi nimeona nimalize mchezo kabisa hadi saloon ifungwe.ilibidi amkazie alipe sio kumfungia biashara
itakua hamuaminiau labda jamaa anamdharau kabla hata ya kumjua vizuri....
sawa, umefanya vyema kufunga saloon ๐๐ผLabda nipe mbinu za kumkazia mke arudishe, unaanzaje kwanza? Siku nikikuta kachemsha mihogo na chai akasema anabana matumizi arudishe deni nitajibuje? Solution tu ni kutofika huko kwenye kudaiana, sababu mkifika hakunaga solution. Ndo maana mimi nimeona nimalize mchezo kabisa hadi saloon ifungwe.
Unajua hata Master J alipokua anatoka na shaa (sijui kama bado wapo wote) alisemaga shaa aliwahi taka kuja kufanya nae kazi (kurekodi wimbo) studio ila jamaa akasema hapana. Ni sababu ukishaingiza business (logic) kwenye mapenzi (hisia) tayari unakuwa umefeli vyote
kama ni hivi basi tatizo litakua gumu zaidi kutatua....itakua hamuamini
Salute kwako[emoji122]Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemheshimu.
Kwa hii kauli yako we huyo mwanamke humheshimu.
Na ile kumwambia hutaki business partner ni same path.
Mahusiano yenu yanashikiliwa na utayari wa huyo mwanamke kuvumilia dharau zako wewe pia hutaki awe independent ili uzidi kumdharau.
Sub 3 dah! Kaka weeh! Nikiwembe hahahaa! Salute kwako mswati wa bongo๐๐๐zamani sana, nishajua hapa sina wife material tena. Ndo umuhimu wa michepuko, kuna sub tatu zipo benchi