Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

yani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka nini🙄🙄🙄🤓🙌🏼
Kuna wanawake wameajiriwa wanalipwa karibu 1.3 take home ila bado ombaomba. Hamtosheki tu na kila kitu, sio dudu wala mali, haahaahahaaha
 
Sio la kwanza..

Ana tabia ya kutaka kuwa business woman lkn hawezi, ana uwezo mdogo sana ila haelewi
Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemheshimu.

Kwa hii kauli yako we huyo mwanamke humheshimu.

Na ile kumwambia hutaki business partner ni same path.

Mahusiano yenu yanashikiliwa na utayari wa huyo mwanamke kuvumilia dharau zako. Wewe pia hutaki awe independent ili uzidi kumdharau.
 
ilibidi amkazie alipe sio kumfungia biashara
Labda nipe mbinu za kumkazia mke arudishe, unaanzaje kwanza? Siku nikikuta kachemsha mihogo na chai akasema anabana matumizi arudishe deni nitajibuje? Solution tu ni kutofika huko kwenye kudaiana, sababu mkifika hakunaga solution. Ndo maana mimi nimeona nimalize mchezo kabisa hadi saloon ifungwe.

Unajua hata Master J alipokua anatoka na shaa (sijui kama bado wapo wote) alisemaga shaa aliwahi taka kuja kufanya nae kazi (kurekodi wimbo) studio ila jamaa akasema hapana. Ni sababu ukishaingiza business (logic) kwenye mapenzi (hisia) tayari unakuwa umefeli vyote
 
sawa, umefanya vyema kufunga saloon 🙌🏼
 
Ni ngumu sana kumpenda mtu usiyemheshimu.

Kwa hii kauli yako we huyo mwanamke humheshimu.

Na ile kumwambia hutaki business partner ni same path.

Mahusiano yenu yanashikiliwa na utayari wa huyo mwanamke kuvumilia dharau zako wewe pia hutaki awe independent ili uzidi kumdharau.
Salute kwako[emoji122]
 
Back
Top Bottom